Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

mpwakimeo

Member
Feb 29, 2012
85
53
Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
 
Maduka ya Camera wanauza, ingia Instagram, search camera nenda kwenye account zao..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom