M mpwakimeo Member Feb 29, 2012 84 53 Jul 29, 2012 #1 Wadau naomba msaada. Ninatumia modem ya Voda. Nime-download 'Ares', nime-install lakini haifanyi kazi. Kuna kitu nimekosea? Naomba msaada wenu jamani.
Wadau naomba msaada. Ninatumia modem ya Voda. Nime-download 'Ares', nime-install lakini haifanyi kazi. Kuna kitu nimekosea? Naomba msaada wenu jamani.