Search results

  1. aloveragel

    Kwa wajawazito

    KWA WAJAWAZITO hasa wanaopenda mimba zao unashauriwa kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion kunywa maji mengi kwani kunapunguza kuvimba mguu na kupata magonjwa yasiohitajika hila kila mama mjamzito anashauriwa kula mboga nyingi za majani kwani zitamsaidia kuongeza...
  2. aloveragel

    workshop on enterprenueship

    workshop on enterprenueship satarday 29 september 2012 tsh 5000/= for more infomation please call 0683672508 or benkissy@yahoo.com hii kwa watu wa arusha tu wanaopenda mabadiliko kwenye biashara zao kwani kutakuwa na wafanyabiashara waliofanikiwa sana ambao wanaingiza...
  3. aloveragel

    Samsung phone gt-b5722

    NAUZA HIYO SIMU SHILING 180000 TU KWA ANAYETAKA ANI PM 0683672508 imetumika miezi 3 tu
  4. aloveragel

    Samsung gt-5722 inauzwa

    Nauza samsung GT-B5722 kwa laki 200000 aliye serious ani kol imetumika miezi sita ipo na charge 0714511079
  5. aloveragel

    Msaada wa gateway m-6843 laptop

    wakuu mashine yangu gateway M-6843 NIMEISTAL webcam usb driver 2.0 but amna kamera on screen nilistaal YOUCAM 5 ikaisha baada ya siku 15 yaani kuexpire sasa napata shida jinsi ya kutumia webcam ya mashine amna shootcut yoyote na driver ipo tena imeistaal freshi naomba masaada kwa mwenye ujuzi...
  6. aloveragel

    AFYA MUHIMU SANA WANAUME SOMA itakusaidia

    AFYA YAWABABA! “Wanaume tujue Prostate yetu”. Kwa nini tujue? l “Kufahamu Ugonjwa kutasaidia kujizuia” l “Kujua ugonjwa ni NUSU ya Tiba” Tezi la Prostate: Ni tezi la mfumo wa uzazi wa mwanaume iliyopo chini ya mfuko wa mkojo (BLADDER). Nani ana Prostate? – MWANAUME – ¨ Prostate IPO wapi? – Chini...
  7. aloveragel

    NAHITAJI FUNDI WA LAPTOP HP COMPAQ nc6120

    Wakuu nina hitaji fundi machine yangu hp kioo kimepata kreki hvyo akioneshi fresh nataka nikibadilishe kuna mtu anayeweza kufix hlo tatizo na screen nitapata wapi na kwa shi ngapi mwenye kujua anielekeze ni vizuri kama ukitengeneza na utabadisha na kioo kila kitu kiwe chako halafu uandike bei...
  8. aloveragel

    Kisukari cha kushuka

    Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na inaweza kupona au plz help?
  9. aloveragel

    Msaada wa gateway software

    Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze na ninaweza kupata kaspeskay antivirus ya miaka miwili na kuendelea ambayo mnaweza kutumia hata watu...
Back
Top Bottom