Msaada wa gateway software

aloveragel

Member
Feb 21, 2012
55
16
Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze na ninaweza kupata kaspeskay antivirus ya miaka miwili na kuendelea ambayo mnaweza kutumia hata watu 5 na kuendelea
 
Hutoweza kuiona shortcut ya webcam kama hauna software ambayo itakuwezesha kutumia webcam. Nkushauri utumie software ya webcam ya cyberlink youcam 5
 
Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze na ninaweza kupata kaspeskay antivirus ya miaka miwili na kuendelea ambayo mnaweza kutumia hata watu 5 na kuendelea

Kama unasema hadi driver ya webcam ipo ina maana kinachokushinda ni kutafuta?
Jitahidi ukumbuke jina la hio webcam then search it ndani ya computer yako

Kama hulijua search hata neno cam linaweza kuleta result

Kama hujui kabisa itabidi uview all program na kuchambua moja moja katika hizo programs zako zote za computer.

Nb؛‎ njia rahisi ya kusearch katika window 7 bonyeza start then itakuja search box
 
Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze na ninaweza kupata kaspeskay antivirus ya miaka miwili na kuendelea ambayo mnaweza kutumia hata watu 5 na kuendelea

kuhusu kaspesky ingia kwenye JF store ipo uipakue..
 
Back
Top Bottom