aloveragel
Member
- Feb 21, 2012
- 55
- 16
Wakuu nina hitaji fundi machine yangu hp kioo kimepata kreki hvyo akioneshi fresh nataka nikibadilishe kuna mtu anayeweza kufix hlo tatizo na screen nitapata wapi na kwa shi ngapi mwenye kujua anielekeze ni vizuri kama ukitengeneza na utabadisha na kioo kila kitu kiwe chako halafu uandike bei unataka sh ngapi nikirithia nitakupm