Search results

  1. C

    DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Nina maswali kwako Je uliambiwa kulipia hiyo fedha kwa mtu au kwa control number? Je uliuona uongozi wa hospital kuulizia kuhusu uhalali wa malipo hayo?
  2. C

    Majibu ya Afya ya Akili ya Don Nalimison kutoka Hospitali ya Milembe-Dodoma na Hospitali ya Benjamin Mkapa-Dodoma

    Hongera yake MRI au CT scan sio vipimo vya kuonyesha kuwa mtu ana mental au psychiatric illness Ugonjwa wa akili ni unaweza kuwa psychological . Hivyo ili kuthibitisha kuwa Hana ugonjwa wa akili kunahitajika evaluation na psychiatrist na psychologist Hivyo Ndugu aendelee na process
  3. C

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi mkuu 2020 na hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi. Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano mkubwa ACT wakashida. Hapa ndo penye shida je CCM wako tayari kukabidhi Zanzibar kwa ACT ? Je, hatma ya...
  4. C

    Kuhusu mke wa Rais: Taasisi ya urais imepotoka

    Kwa uelewa wangu hospital ya Taifa Muhimbili ina private ward karibu katika majengo yote Kama emergency, Mwaisela, psychiatry na kibasila. Hivi karibuni imefungua private ward maalum katika jengo la Sewahaji ward 18 ambapo palikua ward za wagonjwa wa MOI kabla hawajahamia jengo lao jipya . Na...
  5. C

    Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Elimu bure inawezekana kwa kuwalipia wanafunzi wote ada ambayo ni sehemu ndogo na mzazi kuachiwa kugharimia chakula na malazi kama ilivyo kwa shule za msingi.
  6. C

    Maji ya viroba yapigwa marufuku mara baada ya lowasa kuyanywa

    Kukatwa kwa maji ya viroba na vyakula kumetokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umelikumba jiji la Dar. Hivyo katazo kama hilo limeshatolewa kwa manispaa ya kinondoni ambako kipindupindu kimeenea. Hivyo tusihusishe kila kitu na siasa .
  7. C

    Kikwete atuma ujumbe mzito Uchaguzi Mkuu 2015

    Inabidi aweke pembeni huruma na kuoneana haya maana machafuko husababishwa na kasoro katika chaguzi Rais Kikwete, ambaye atakuwa akimaliza kipindi chake cha miaka kumi tangu akabidhiwe nchi mwaka 2005, ametoa kauli hiyo ikiwa ni wiki chache baada ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa...
  8. C

    Picture: Tanzania Boys Win 2014 Street Child WORLD CUP in BRAZIL

    Swali kwa wanaoendelea kaaimg'ang'ania serikali 2 inakuaje raisi wa muungano kutoka Zanzibar asimie mambo yasiyo ya muungano ya bara wakati kwao siyo hivyo na wanataka uhuru zaidi
  9. C

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    MAMBO Mengine yanaboa kulalamika MOU au kuwa serikali haijashidwa hivi unajua kuwa hospitali nyingi za rufaa ni za taasisi za dini mfano BUgando kanda ya ziwa na KCMC hivi ikiwa serikali kujenga mbona imeshinwa
  10. C

    MOI: Mgomo wa Madaktari Bingwa unaendelea

    Pole sana ndugu kwa kuuguliwa nimesoma post yako lakini hali halisi sio kwamba kuna mgomo MOI suala la wagonjwa kulala chini MOI ni la kawaida miaka yote labda hujawahi kufika kabla wagonjwa ni wengi sana . sio MOI tu muhimbili mugonjwa kulala chini ni kawaida maana vitanda na majengo hayatoshi...
  11. C

    Wanaoutaka urais 2015: Yupi anafaa?

    Hajanituna nimejituma kwa kusukumwa na dhamira ya haki kwa kuona utendaji kazi wake usiotetereka
  12. C

    Wanaoutaka urais 2015: Yupi anafaa?

    Kwa hali inayoendelea hivi Tanzania inatia shaka bado miaka mitatu kufika uchaguzi mkuu wa uraisi na wabunge 2015, lakini kila kukicha mapya yanajitokeza kwa watu kutaganza nia ya watu kujitangazia kuwa na sifa za kuutaka uraisi, mmoja alisema anasubiri Mungu amuoteshe na kudhihirisha akasema...
  13. C

    Aina mpya ya ufungaji wa ndoa yaanza kushika kasi makanisani.

    Siku hizi kuna hali ambayo nimeibuka na kushika kasi mara mwanamke anapopata mimba , kama alikua hajavalishwa pete anavalishwa pete na kinachofatia ni kutangaza ndoa, imekua ni kawaida kwa bibi harusi kufunga ndoa akiwa na mimba ya miezi sita wakati mwingine mpaka nane . nimeshuhudia harusi...
  14. C

    madoctor waliomaliza mwezi huu wameanza interniship ?

    Jana nilikuwa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL PED WARD. Nilikuta maintern wanatibu wagonjwa, sikuweza kudodosa kuwa wale ni maintern wapya au wale waliofutiwa leseni maana maintern wote wa MD waliondolewa muhimbili. na ninavyojua matokeo ya UE bado hajatoka ,kama waliopo ni wapya je, siku hizi hata...
  15. C

    Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

    Nipende kukujulisha tu kuwa njia ya mkojo ya mwanamke ni tofauti na njia ya kuelekea kwenye cervix. Kukojoa kwa mwanamke hakusaidii kusafisha njia ya ukeni. wakati wa kujamiiana mwanamke akiwa mimba mbegu huwa haziendi ndani maana cervics huwa imefunga na huwa hairuhusu viu kupenyaisipokuwa...
  16. C

    Ugonjwa wa utindio wa ubongo (cerebral palsy) unatibika?

    Habari wana jukwaa naomba kuuliza ungonjwa wa utindio wa ubongo unaweza kuzuiriwausitokee au kama kuna matibabu ya kumwezesha mtoto wa aina hiyo kukuwa na kupata angalau skills za kumwezesha kuishi dependent . leading cause Tanzania ni ipi
  17. C

    Wanachuo wengi wanawapenzi chuoni na sehemu wanazotoka

    kwa hali hii ya wanachuo kuwa na wapenzi wengi tutegemee ukimwi kuongezeka na kupoteza wataalamu . Fikiriamtu amesoma miaka mitatu, minne au mitano harafu baada ya kugraduate anakuwa ana HIV stage 2 then two or four year later anakuwa stage 3. inatishe .pili kwa akina dada wengi wanaosoma vyuo...
  18. C

    Wanachuo wengi wanawapenzi chuoni na sehemu wanazotoka

    Hali niliyokuwa naitegemea kuwa mtu akisoma huwa anaongeza maadili na maarifa lakini nilipofika chuo sio vile katika suala la mahusiano, ni kawaida kwa wanachuo kila mmoja anapofika chuoni kuanzia uhusiano mpya , wakati alikotoka aliacha mtu wake . wengine wanaenda mbali zaidi na kuwa makahaba...
  19. C

    Sio CCM, Chadema wala CUF vinafaa kuongoza tanzania , tunahitaji chama mbadala.

    Tatizo ni muunganiko wa watu waadilifu vyama ulivyotaja ni vya waganga njaa havina nia na kuchukua dola
Back
Top Bottom