madoctor waliomaliza mwezi huu wameanza interniship ?

CANCER

Member
Feb 21, 2012
36
20
Jana nilikuwa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL PED WARD. Nilikuta maintern wanatibu wagonjwa, sikuweza kudodosa kuwa wale ni maintern wapya au wale waliofutiwa leseni maana maintern wote wa MD waliondolewa muhimbili. na ninavyojua matokeo ya UE bado hajatoka ,kama waliopo ni wapya je, siku hizi hata kama hujapata matokeo ya mwisho unatinga intern au imeamuliwa hivyo. naomba wenye taarifa wanisaidie
 
Kwa Tanzania lolote linawezekana, ndio maana Waisrael walisema Tanzania sio nchi ya mhimu, tukawalaani sana, waliangalia mambo mengi sana tunayofanya kama Taifa, wakatoa conclusion.
 
Jana nilikuwa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL PED WARD. Nilikuta maintern wanatibu wagonjwa, sikuweza kudodosa kuwa wale ni maintern wapya au wale waliofutiwa leseni maana maintern wote wa MD waliondolewa muhimbili. na ninavyojua matokeo ya UE bado hajatoka ,kama waliopo ni wapya je, siku hizi hata kama hujapata matokeo ya mwisho unatinga intern au imeamuliwa hivyo. naomba wenye taarifa wanisaidie

bado hawajaanza lkn inasemekana wataanza mapema kuliko miaka yote ili kuziba mapengo ya wale waliofukuzwa,vilevile na wao walikuwa na mjadala wa kutaka kugoma mpaka wawarejeshe wale waliowafukuza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom