Ugonjwa wa utindio wa ubongo (cerebral palsy) unatibika?

CANCER

Member
Feb 21, 2012
36
20
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ungonjwa wa utindio wa ubongo unaweza kuzuiriwausitokee au kama kuna matibabu ya kumwezesha mtoto wa aina hiyo kukuwa na kupata angalau skills za kumwezesha kuishi dependent . leading cause Tanzania ni ipi
 
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ungonjwa wa utindio wa ubongo unaweza kuzuiriwausitokee....
.
.
.
.
huu ugonjwa huwa hautibiki,

not sure about the leadi ng coz but among the common causes there is birth trauma, convulsions and infections like meningitis.


prevention include early management of infections, preventing convulsions and birth trauma.



physiotherapy sometimes inawasaidia kugain skills but huwa hawaregain 4 100%
 
There is something we can do though they dont recover for 100% bt nijuze umri wa huyo mtoto.
 
Back
Top Bottom