Search results

  1. M

    Prof. Abdallah Safari, uzalendo wako ni wa kupigiwa mfano ndani ya CHADEMA

    Katika hali ambayo vibaraka wa ccm hawataweza kuipotosha na CD zao za Udini na Ukabila, jana Prof aliudhihirishia umma wa Watanzania na dunia kuwa, kwenye harakati za ukombozi wa nchi kupitia M4C sisi sote ni ndugu, tatizo ni ccm peke yake kwa mustakabali wa taifa hili na watu wake. Utayarishaji...
  2. M

    Jimbo la Dole likoje?

    Mbunge(mwakilishi) wa jimbo la Dole(visiwani ZNZ) ni Silvester Masele Mabumba.Jina lake la pili na la tatu kwa hapa bara yana asili ya KANDA YA ZIWA.Hali hii inatatiza na inazua maswali kadhaa yasiyo na majibu kwetu Wabara tuliowengi ambao hatujawahi kufika Zanzibar. Baadhi ya maswali haya ni:-...
  3. M

    Msitegemee kuona mbunge anafukuzwa uanachama CCM!

    Ukweli ulishajidhihirisha tangu kale. Rais kuwasamehe wezi wa EPA, Kumfumbia macho Jairo na Luhanjo, chama kuendesha chaguzi zote kwa rushwa ie chaguzi ndogo, EALA nk. Omary Badwel (mb) wa Bahi na sasa akina Kilango, Ole Sendeka nk. Hakuna sababu ya kutarajia jipya hapa, labda safari hii...
  4. M

    Je! Deo Filikunjombe na January Makamba ni Nani Mzalendo Zaidi?.

    Wana jf,Kufuatia kibano kikali ilichopata serikali toka kwa bunge letu likichochewa zaidi na Makamanda wetu wa CHADEMA,tulijionea wenyewe tofauti kati ya mzalendo halisi na mzalendo wa maneno matupu kupitia ccm.Vitendo ndo njia pekee kudhihirisha contents za mtu husika.DEO alisaini waraka wa...
  5. M

    Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    Nilifurahi sana Makongoro Nyerere alipogusia bungeni ushindi walioiletea tz baada ya uvamizi wa IDD AMIN DADAA,najiuliza marais waliomrithi Nyerere wamepeleka watoto wao vitani kama vile kulinda amani Somalia,Comoro,Burundi nk au wanao siku hizi ni kupelekwa kusoma ulaya na kuja kugombea vyeo...
  6. M

    SIKU KUU YA MUUNGANO: Sitasherehekea tena Siku Kuu ya Muungano wa TZ Aprili 26

    WanaJF, Kutokana na muungano wa Znz na Tanganyika kutokuwa na maslahi ya kijamii kwa pande zote mbili,binafsi na kwa hiari yangu mwenyewe nimeamua kutopumzika 26Aprili miaka yote kuanzia 2012.Nitakuwa nashinda shambani kulima kwa nguvu huku nikiiwaza Tanganyika iliyozikwa kwenye kivuli cha...
Back
Top Bottom