Je! Deo Filikunjombe na January Makamba ni Nani Mzalendo Zaidi?.

Mnyonge Namba1

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
402
81
Wana jf,Kufuatia kibano kikali ilichopata serikali toka kwa bunge letu likichochewa zaidi na Makamanda wetu wa CHADEMA,tulijionea wenyewe tofauti kati ya mzalendo halisi na mzalendo wa maneno matupu kupitia ccm.Vitendo ndo njia pekee kudhihirisha contents za mtu husika.DEO alisaini waraka wa Zitto na January hakusaini.

Najiuliza sipati jibu kuwa nani zaidi kati ya wanasiasa hawa vijana?.Sijalenga kumkweza mmoja wao kwakuwa wote hawa kwa pamoja hawamfikii T/Lissu hata robo,bali nimefikiria kizalendo zaidi na sijapata jibu kamili. NAWASILISHA KWENU WANAJAMVI KWA MSAADA WA MAWAZO NA MAJIBU THABITI
 
Deo ni Mzalendo wa ukwel Hakupitishwa kugombea Ubunge kwa NGUVU ya Baba yake kama alivyo makambaALIVYOMBEBA Mwanae.January Hawezi kuisaliti CCM ya baba yake mfumo uliompitisha ndio unampa jeuri ya kujifanya hivyo.Deo AMEPITISHWA ,AMECHAGULIWA NA WANANCHI apart from Ubunge alikuwa akiishi kwa nguvu zake .
 
Zaidi ni Deo Filikunjombe.Makamba hana jipya ni wale wale waongeaji lakini vitendo hakuna.
 
Kwa upande wangu namkubali sana Deo Filikunjombe sio kwa kusaini tu pia hata ubunge wake aliupata kihaki bila hata kutumia influence ya mtu kama alivyofanya Januari kwa kupitia baba yake
 
Huwezi kuwa ccm alafu ukawa mzalendo huko ni kujidanganya.wakienda kwenye vikao vya chama wanapewa kitchenpaty wanalegea ref sendeka ,kilango
 
Wana jf,Kufuatia kibano kikali ilichopata serikali toka kwa bunge letu likichochewa zaidi na Makamanda wetu wa CHADEMA,tulijionea wenyewe tofauti kati ya mzalendo halisi na mzalendo wa maneno matupu kupitia ccm.Vitendo ndo njia pekee kudhihirisha contents za mtu husika.DEO alisaini waraka wa Zitto na January hakusaini.

Najiuliza sipati jibu kuwa nani zaidi kati ya wanasiasa hawa vijana?.Sijalenga kumkweza mmoja wao kwakuwa wote hawa kwa pamoja hawamfikii T/Lissu hata robo,bali nimefikiria kizalendo zaidi na sijapata jibu kamili. NAWASILISHA KWENU WANAJAMVI KWA MSAADA WA MAWAZO NA MAJIBU THABITI
Deo filikunjombe ni mlima kilimanjaro , makamba ni kichuguu
 
Maswali mengine mazuri. Questionnaire hii ni close eded. Aidha Deo au Maropes...........OK kama untumia SPSS jibu langu ni A. Deo filikunjombe
 
Kwani Uzalendo wa MPs unapimwa kwa majina 75 ya ZITTO? Ufinyu wa fikra
 
Deo ni Mzalendo wa ukwel Hakupitishwa kugombea Ubunge kwa NGUVU ya Baba yake kama alivyo makambaALIVYOMBEBA Mwanae.January Hawezi kuisaliti CCM ya baba yake mfumo uliompitisha ndio unampa jeuri ya kujifanya hivyo.Deo AMEPITISHWA ,AMECHAGULIWA NA WANANCHI apart from Ubunge alikuwa akiishi kwa nguvu zake .

Itakuwa vema huyu kijana akaendeleza msimamo huo wa kupinga hadharani uchafu wa sirikali bila kuathiriwa na uchama
 
Kwani Uzalendo wa MPs unapimwa kwa majina 75 ya ZITTO? Ufinyu wa fikra

Hicho ni moja ya vipimo vya uzalendo wa mtu.Je!ulitaka tuwapime kwa ukwapuaji wa rasilimali za taifa?. Ama kweli hadi ubongo unaelemewa na gamba.
 
Kama hujui kuwa kusaini waraka wa zitto na kisha kupiga kura ya kutomwamini PM ni uzalendo,basi rudi shule ukasome Civics na GS.
 
hakuna mwanasiasa mzalendo! ... all politicians are lairs
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom