Msitegemee kuona mbunge anafukuzwa uanachama CCM!

Mnyonge Namba1

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
402
81
Ukweli ulishajidhihirisha tangu kale.

Rais kuwasamehe wezi wa EPA, Kumfumbia macho Jairo na Luhanjo, chama kuendesha chaguzi zote kwa rushwa ie chaguzi ndogo, EALA nk. Omary Badwel (mb) wa Bahi na sasa akina Kilango, Ole Sendeka nk.

Hakuna sababu ya kutarajia jipya hapa, labda safari hii tuone makali ya upande wa upinzani ili tujue dira halisi kuelekea 2015..
 
Pamoja na hayo, pia wanaogopa kupungua zaidi Bungeni. Hawana uhakika wa kushinda chaguzi ndogo..........!!!!
 
Wananchi wajimbo husika ama wapiga kura wake wanaweza kuamua. wakichachamaa ataachia ngazi tu manake anakuwa amewaangusha wao zaidi
 
Watawafukuza vipi wakati wao wenyewe ni wala rushwa wakubwa,Umesahau suti tano za mr dhaifu.
 
Chadema watawaoneshenimfano wa nini kinatakiwa kufanyika kwa wahujumu uchumi na wanafiki wakubwa km akina sendeka, kilango na wapuuzi wengine wanaojifanya wanaiga cdm kupiga vita ufisadi
 
kama ccm itawafukuza wabunge wake nitabadili jinsia na anayebisha aniambie haya.
1.siku 90 za lowasa na chenge zimeishia wapi?
2.mbunge wa dodoma aliyeshikwa na hongo ya 1 million kaishia wapi?
3.mawaziri waliochishwa juzi na kikwete wamechukuliwa hatua gani za kinidhamu na kutaifishwa au kufungwa?
Ccm wote ni wachafu hakuna msafi anayeweza kuipenda ccm poleni sana
 
Back
Top Bottom