SIKU KUU YA MUUNGANO: Sitasherehekea tena Siku Kuu ya Muungano wa TZ Aprili 26

Mnyonge Namba1

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
402
81
WanaJF, Kutokana na muungano wa Znz na Tanganyika kutokuwa na maslahi ya kijamii kwa pande zote mbili,binafsi na kwa hiari yangu mwenyewe nimeamua kutopumzika 26Aprili miaka yote kuanzia 2012.Nitakuwa nashinda shambani kulima kwa nguvu huku nikiiwaza Tanganyika iliyozikwa kwenye kivuli cha muungano wenye maslahi ya sisiem na sio ya jamii ya Wafugaji,Wakulima Wavuvi,Wachimbaji nk wanaozidi kuwa maskini kila uchao.Sababu kuu ni 1.Znz ipo na Tanganyika haipo 2.Watu wa Znz hawamuheshimu Baba wa Taifa"huwa wanatuambia'BABA YENU NYERERE' na sio Mwl Nyerere au Baba wa taifa"Dharau kubwa sana hii 3.Kuanzia sasa wanaleta ubaguzi kwenye ajira huko visiwani wakati wao huku bara wapo kwenye taasisi nyingi tu mfano airport,TMA,Mawizarani nk.Kwa ufupi tunanyonywa lakini sie tunaelekea kukatiwa mrija kule zenj. HUU NI MSIMAMO WANGU KAMA MTANGANYIKA ALIYEPORWA NCHI YAKE MWAKA 1964. Naomba Wazalendo Tuungane katika kuupinga Muungano huu feki. NAWASILISHA KWENU
 
Kazi kwelikweli hao ndugu zako watafanywa watwana sasa hivi
Mwarabu ana dharau hasa Oman hataki tena atadai visiwa ni vyake
Ww waulize kwanini Punda Hapandi Muscat?
 
wewe ni mpemba bila shaka ..lakini siku hio wapemba wenzako an waunguja kila shein an kina bilal na seif watakuwa viti vya mbele wakisherehekea
 
Kazi kwelikweli hao ndugu zako watafanywa watwana sasa hivi
Mwarabu ana dharau hasa Oman hataki tena atadai visiwa ni vyake
Ww waulize kwanini Punda Hapandi Muscat?

Nitake radhi,shytown hakuna mpemba.Ndo maana nawachukia walima karafuu kwa kumbeza baba wa taifa
 
Ivi kuna wadanganyika wanaosheherekea muungano bado?? for what??
 
wewe ni mpemba bila shaka ..lakini siku hio wapemba wenzako an waunguja kila shein an kina bilal na seif watakuwa viti vya mbele wakisherehekea

Ni dhambi kubwa kumuita msukuma eti mpemba,labda wewe ndo mpemba au wa unguja kama sio Comoro
 
Sisi kule kishapu kijijin(SHY) tulikuwa tunauenzi bado huo muungano,ila sasa basi
Basi amkeni kule kwetu Kirua Vunjo tulishaacha siku nyingi hiyo siku kwa wanaofanya kazi Moshi Arusha nk ni siku ya kupalizi na kuweka mbolea mashamba yetu kule Kwamiller, Mawaleni, Masiya, Kawawa, Uchira, Mabungo, Njiapanda, Himo,....lol... hadi KIA kule tunakolima maharagwe.... Tumechoka kusheherekea ndoa ya lazima...tena isiyo na maslahi..
 
Ivi kuna wadanganyika wanaosheherekea muungano bado?? for what??

Ikifika taarih hiyo utawaona pale Uwanja wa Taifa Dsm wakicheza parade nzito sana na kukaguliwa na amir jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.

Vyombo vyote vya habari vitakuwa pale kuonyesha tukio hilo live.

Serikali zote mbili za Tz zitasherehekea tukio hilo na itakuwa siku ya mapumziko kisharia.

Okay, wewe utasheherekea pia??
 
Mimi niliwahi kuwepo 26April2010 pale Zenji mwaka jana wakt wa sherehe kama hizi, nilijisikia aibu na uchungu kwa kuwaona watoto wa kitanganyika wakidharauliwa na watoto wa kizanzbari, na nikajiuliza nani kawaleta watoto wetu huku na kufanyiwa dharau namna ile ??
Mimi hawa jamaa tokea pale cna huruma nao na nitafanya lolote ili tuitishe kura ya maoni tuachane na hili balaa la muungano.
 
Back
Top Bottom