Search results

  1. FortJeasus

    Neno la Biblia kwa wahusika katika sakata la dawa za kulevya.

    James 1:19 So, then, my beloved brothers, let every man be swift to hear, slow to speak, and slow to anger;
  2. FortJeasus

    Usijitutumue kwa PhD ya Heshima

    Ni dhahiri,upo upungufu wa uelewa na ufahamu juu ya maana na nafasi ya Shahada ya Uzamivu za Heshima. Hii ni kwa kuzingatia maneno na matendo ya watunukiwa na wadau wengine kwa upana wake. Shahada hiyo kamwe haiwezi na haitakuwa sifa ya kitaaluma wala kuongeza uwezo wa kufikiri wala utendaji...
  3. FortJeasus

    Kauli za Kagera & Shinyanga: Hadhari ya Kibiblia juu ya wahitaji

    Mathayo 25 14 Itakuwa kama mtu mmoja aliyetaka kusafiri ng'ambo: aliwaita watumishi wake, akawakabidhi mali yake. 15 Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja sarafu tano za fedha ziitwazo talanta, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri. 16 Mara yule aliyekabidhiwa...
  4. FortJeasus

    Chukua hadhari katika hoja nzito.

    Tofauti na wanyama wengine,mwanadamu ni kiumbe aliyekirimiwa ubongo wenye ufanisi mkubwa.Nyenzo hiyo huitumia kuibua na kisha kuunda fikra,mitazamo na imani kwa lengo la kuboresha,kudumisha ama kubadilisha mazingira yanayomzunguka.Aghalabu baada ya tafakuri,mwanadamu hushirikisha wanajamii...
  5. FortJeasus

    Sera za kikodi Tanzania kuwaondoa wawekezaji

    Magufuli Effect: Foreign Investors Pulling Out Of Tanzania Due To Higher Taxes By Kevin Mwanza Published: November 30, 2016, 8:44 am Supporters of Tanzania Presidential candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Pombe Magufuli celebrate after he was declared the winner of the...
  6. FortJeasus

    Pongezi UDSM kwa udahili makini.

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)kinaendelea kujitenga kiubora,na Taasisi na Vyuo vingine vya Elimu ya Juu nchini,kwa uamuzi wake wa kurejea utamaduni wake zamani kudahiliwanafunzi wenye ufaulu wa juu katika matokeo yao. Kwa mwaka wa masomo 2016/2017,walioweza kupata udahili Chuoni hapo wana...
  7. FortJeasus

    Clouds Tv: Msoma Habari anatoa maoni?

    Kituo cha Televisheni cha Clouds kinaendelea kujitahidi kutekeleza majukumu yake ya kiasili:kuhabarisha,kuelimisha na kuburudisha. Hapana shaka,wahusika wanao mchango katika ukuzaji na uimarishaji wa utamaduni wa kidemokrasia,muhimili adhimu katika michakato ya maendeleo ya kiuchumi. Hata...
  8. FortJeasus

    Fahmi Dovutwa Nashindwa kumuelewa

    Miongoni mwa wanasiasa wapuuzi niliopata kuwajua,Fahmi Nassoro Dovutwa,mwenyekiti wa chama cha UPDP(sitaki kujua hata kirefu chake) ni mojawao. Mwaka 2010 alijitoa katika kinyanganyiro cha Uchaguzi Mkuu alipokuwa anawania nafasi ya Urais kwa sababu za kipuuzi ambazo nisingependa kuzirejea...
  9. FortJeasus

    Jenerali Ulimwengu: Mwaka Mpya matatizo yale yale, tunavyoenenda hatuendi!

    TUNAUANZA mwaka mwingine ‘mpya' tukiwa na matatizo yetu yale yale ya zamani, isipokuwa tu kwamba yanazidi kuwa magumu kutokana na udhaifu wetu katika kuyashughulikia. Yatazidi kuwa magumu na mazito zaidi kadri tunavyokaribia kile ambacho tumekifanya kiwe ndiyo Alfa na Omega: Uchaguzi Mkuu...
  10. FortJeasus

    John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    John Mnyika Kila jimbo litataka kujifananisha na mafanikio fulani fulani. Dhana ya ushindani na upekee imeshindikana katika mazingira ya sasa ambapo kila halmashauri inaongozwa na maelekezo ya Dar es Salaam na inajivunia mafanikio ya nchi kwa ujumla wake. Katika kuendeleza dhana hii potofu...
  11. FortJeasus

    Kupinga ''nguvu ya Umma'' ni kupinga demokrasia na kutukuza udikteta.

    Deusdedit Jovin, Raia Mwema Toleo namba 260,Tar 19 Sept.-25 Sept. TUHUMA tata zilizotolewa na kina Samuel Sitta dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ambazo nimezijadili kwa kifupi katika toleo lililopita la gazeti hili, zimenihamasisha kutafakari kwa kina kuhusu...
  12. FortJeasus

    Kura ya kutokuwa na imani na mbunge.

    Baada ya mjadala mkali wa takribani wiki mbili sasa,ndani na nje ya bunge,kufuatia ripoti ya CAG,na ulioibua shinikizo dhidi ya mawaziri kadhaa kujiuzulu nafasi zao kutokana na makosa ya uwajibikaji,na ambao hata hivyo hawakufanya hivyo na shinikizo hilo kuhamishiwa kwa Mizengo Pinda kwa...
  13. FortJeasus

    Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    "I was baptized a Catholic when i was young at school..i wouldnt want to be hyprocrite as i believe God is there(is sovereign and exists), not in the house of bibles or Qurans..i ve never been doctrinaire for Christianity or any religion from abroad, i believe in a lot of things in...
  14. FortJeasus

    Nape Nnauye: Alipotoka, alipo na aendapo

    Mwaka 2002,August,nikiwa najisomea nyumbani,majira ya kumi na moja jioni,huku nikifuatilia matokeo ya kura ya Uchaguzi Mkuu wa ndani wa CCM,nilistuka kusikia Nape, akiwa na miaka 24 wakati huo,wakati huo akisoma Chuo Cha Kivukoni,akitajwa kuongoza katika kinyanganyiro cha kutafuta Wajumbe wa...
  15. FortJeasus

    Maana ya ushindi wa NASSARI JOSHUA

    Tarehe 18 March 2012,wiki moja baada ya kuanza rasmi kampeni za uchaguzi wa Arumeru Mashariki,na baada kuangalia mwenendo wa kampeni hizo,nilisukumwa na dhamira yangu kuanzisha ,hapa JF, thread yenye kichwa kisemacho:'Kwa nini naamini CHADEMA itashinda Arumeru' .Ninayo furaha kubwa kuwa, jana ...
  16. FortJeasus

    Kwanini naamini CHADEMA itashinda Arumeru.

    Wiki moja tangu kuzinduliwa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, nimeamua nifanye tathimini juu ya mwelekeo na mwenendo wa vipengele (components) 6 kama vilivyojidhihirisha na kisha kufuatiliwa na kuzingatiwa.Ili kuweza kuelewa mantiki iliyo nyuma ya hitimisho hapo...
  17. FortJeasus

    Diana Chilolo aseme ukweli kuhusu elimu yake

    Gazeti la Mwanahalisi ktk toleo lake na.279 ukurasa wake wa Tisa, la wiki hii limechapisha mahojiano kati yake na ndugu Diana Chilolo mbunge wa viti maalumu,CCM mkoa wa Singida.Mwishoni mwa mahojiano, ameeleza kuwa amesoma ktk shule ya Sekondari Mwenge iliyopo mjini Singida.Napenda kuchukua...
  18. FortJeasus

    Wana CCM walio katika vyuo vya juu

    Yafahamika kuwa ni haki ya kisiasa kwa mwananchi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini.Pamoja na ukweli huo,ni dhahiri kuwa nia, malengo na misukumo ya baadhi vijana kujiunga ama kushabikia chama cha CCM hayako sahihi,hata kama kwa kufanya hivyo hawavunji katiba ya chama...
Back
Top Bottom