Search results

  1. Strong25

    Nawezaje kwenda Marekani?

    Habarini wakuu__nahitaji msaada wa mawazo ama ushauri au njia gani nipite ili niweze kufanikiwa kuingia marekani _bongo maisha magumu sana Kuna jamaa yangu yuko marekani kupitia yeye nataka namm nikanyage kwa biden Msaada ninao uhitaji kutoka kwako. Kwa upande wangu huku tanzania natakiwa...
  2. Strong25

    Mwanaume usiendekeze majukumu

    Mawili matatu kwavijana wenzangu: Kwenye harakati za kutafuta pesa Kwenye harakati za kutafuta ugali wa watoto Kwenye harakati za kujikwamua kimaisha Kwenye harakati za kutimiza wajibu wako kama baba Bas nawaasa msisahau kujipongeza (nini namaanisha?) Ukiendekeza sana majukumu hautakaa ununue...
  3. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Najiulizaga sana, ama wewe hujiulizagi? Kwenye biashara ama mishe hio hio unayofanya miaka nenda rudi unaishia kupata hela yakula tu Ila anakuja mtu moja wala hana uzoefu kiviile nahio biashara ama kazi Ila kwamuda mfupi tu mambo yake yamenyooka Matajiri wa jf mtuambie nimbinu mnazitumia...
  4. Strong25

    Naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yangu

    __nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa...
  5. Strong25

    INAUZWA Pendezesha nyumba yako kwa aluminium

    Habarini wakuu, mimi ni fundi aluminium ikiwemo __madirisha ya aluminium __milango ya aluminium __makabati ya chips __partitions za majumbani na ofisini NAPATIKANA DARESLAAM -MIKOANI PIA NAKUFIKIA 0686141321
  6. Strong25

    Harakati za maisha

    Kama kijana mpambanaji__ Bado najiuliza sana (vijana wenzangu hembu leo tugeane code) (siri) inakuaje kijana alisoma miaka mingi-anavyeti vyenye alama nzuri -hana pakushika -kuna wengine tunapambana miaka nenda rudi bado hatuoni hata dalili yakutoboa __ila unakuta kujana mdogo (under 30)...
  7. Strong25

    Nahitaji mpenzi wa kike wa kudate nae tuenjoy maisha

    Mm nikijana wakiume umri wangu 27 years __nipo dar (nahitaji mpenzi wakudate nae tuenjoy maisha ) NOTE:kuhusu ndoa bado bado (nasubiri text yako inbox)__kuhusu ninae mhitaji umri wake usizidi 35
  8. Strong25

    Kwa mahitaji ya aluminium na vioo

    Pendezesha nyumba yako kwa aluminium (kwabei nafuu kabisa) nakufikia popote ulipo. Napatikana dareslaam (mikoani pia nakufikia). 0686141321.
  9. Strong25

    Nahitaji wajuzi kidogo kuhusu elimu ya majini na utajiri

    Swali hivi nikweli mizimu ama majini yanaweza kumtajirisha mtu..? kama ni kweli ni yapi madhara yake na faida kama sio je hawa tunaoambiwa wana pesa za majini wanazipata wapi..? (NOTE..nahitaji pia hizo mambo)
  10. Strong25

    Natumia iphone XR nahitaji kutumia free net

    wakuu naombeni msaada natumia iphone XR nahitaji kutumia free net mana bando limekua garama sana naukilinganisha nahali yasasa, so mwenye vpn yeyote ama app yeyote inayoweza ku acess free net msaada plz.
  11. Strong25

    Naomba nisaidiwe kurudisha email yangu

    Naombeni msaada, Nataka kurudisha email yangu ya zamani ila tatizo number niliofunguliaga haiko hewani ishapoteaga na wala sina recovery email yani zaidi yakukumbuka jina la email yangu sikumbuki chochote. Nilishahangaika mtandaoni ila nimeshindwa maana inataka kutuma verification kwenye ile...
  12. Strong25

    Wapambanaji tukutane hapa

    #wakuu katika harakati zakutafuta maisha__nishahangaika sana (mm naishi dar) nataka nicheki upande wapili (naitaji mganga konki kabisa atakaeweza kunipatia utajiri ) mwenye connection plz naomba tuwasiliane mana maisha yabongo nimagumu sanaaa..! (Nataka mtaalam konki kabisa yan aliebobea kwenye...
Back
Top Bottom