Search results

  1. Y

    Mashamba ya umwagiliaji

    maana yangu ni kwamba eneo lenye chanzo cha maji hasa mito isiyokauka
  2. Y

    Mashamba ya umwagiliaji

    Ndugu wan JF naomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu sehemu ambayo ina mashamba ya umwagiliaji kwa mikoa ya Dar es salaam na Pwani nahitaji kuanzaisha kilimo cha umwagiliaji wa mbogamboga na mahindi mabichi. Nimetafuta ajira nimekosa .
  3. Y

    Taarifa: Utumishi wameita watu ktk usaili zile nafasi 2285 za trh 25/05/2012

    Ndugu zangu wana JF mimi ni graduate BBA Accountsnimetafuta kazi nimekosa huu in mwaka wa mzima umepita. Nimeamua kujiajiri mwenyewe katika sekta ya kilimo. Naomba kama kuna mtu anayefahamu maeneo yanayofaa kwa kilimo yenye maji karibu kwa kilimo cha mbogamboga hapa dar es salaam au pwani...
  4. Y

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Acha porojo.Wazee wapi hao waliokufuata. Kbal ya yote jibu kwanza maswali Haya, what is your academic qualification?What are your development priorities, tel us in short your portfolio
  5. Y

    Aliyetayari kufanya kazi kwa muda wake wa ziada

    Watanzania watu wa ajabu kweli biashara za GNLD na forever is it possible kwa lila mtu kupata utajiri kama wanavyoonyesha kwenye mikutano yao. Msiige watu kama akina chilato huyu bwana ameishi marekani then akaja bongo akaanza so aliye wahi mwache aendelee. Nawashangaa sana watu wanaanzan...
  6. Y

    NBAA result for May 2012 are out

    Jamani vipi wale wa module E ?
  7. Y

    Wailboru wenzangu nasikia Mwigulu naye ni Muilboru

    Nyie mnaojiita wnailboru acheni majivuno mbona hakuna chochote mnachoonyesha cha ziada katika taifa letu. Mngepata majukwaa ya kisiasa mngejisifia tu kama Mwigulu wote ni walewale tu.
  8. Y

    Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

    Hon J.Selasini i know your coming from a political oriented family starting from your father Mzee Romani Selasini (the councilor forever)and your brother the prominent lawyer Mr Masumbuko Lamwai. My advice is may you organize a special dinner for Rombo graduates so as to expose out our ideas...
  9. Y

    Mbunge wetu wa Rombo mbona kimya?

    Mimi ni mwana Rombo na mkereketwa wa maendeleo ya wilaya ya Rombo na taifa zima kwa ujumla hasa katika sekta nyeti ya ELIMU. Mbunge wangu Josephy Selasini kimya kimezidi hatukusikii ukiendesha harakati za maendeleo. Pengine unaziendelelza ila huweki wazi katika vyombo vya habari maana...
  10. Y

    Pspf walofanya interview wameitwa?

    wana JF napenda kuuliza je wale tuliofanya interview ya oral kwa nafasi za operation officers PSPF wameita watu? kama kuna mwenya habari atudadavulie jamani.
  11. Y

    Natafuta kazi ya accountant

    Am a graduate Bachelor of Business Administration in accounting.... Computer literacy (MS word & MS excel). Contact me : yusto_john@yahoo.com:hat::A S 465:
  12. Y

    Big up!wadau mliokwaa cpa

    Big up mabraza
  13. Y

    Natafuta kazi ya accountant

    Natafuta kazi ya accountant. Am a graduate of Bachelor of Business Administration Accounting 2011. Computer literacy (Ms word and excel).......... JF members I need your assistance please. Contact me: yusto_john@yahoo.com:lol:
Back
Top Bottom