Mbunge wetu wa Rombo mbona kimya?

yujomas

Member
Dec 30, 2011
14
3
Mimi ni mwana Rombo na mkereketwa wa maendeleo ya wilaya ya Rombo na taifa zima kwa ujumla hasa katika sekta nyeti ya ELIMU. Mbunge wangu Josephy Selasini kimya kimezidi hatukusikii ukiendesha harakati za maendeleo.

Pengine unaziendelelza ila huweki wazi katika vyombo vya habari maana wengine hatupo jimboni,tupo sehemu mbali2za tanzanaia na dunia kwa ujumla. Tuna mawazo mengi sana chanya ambayo tungekushirikisha wewe kama mbunge yangesukuma mbele gurudumu hili la maendeleo. Tupo vijana wasomi wa fani mbalimbali ambao tunaweza kushirikiana na wewe katika kubuni mbinu mbalimbali za kuboresha na kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni mwetu. Ushauri wangu ni huu mheshimiwa.

Andaa mkutano wa wana Rombo wote waishio Dar es salaam na sehemu nyingine kwa lengo la kuwaleta watu pamoja ili tuweze kutafakari na kubuni ni kwa namna gani maendeleo ya Rombo yanaweza yakaboreshwa haraka iwezekanavyo.

Mwisho nakutakia maendeleo mazuri katika shughuli zako.
 
sasa untmwambia nani matatizo yako, SI mlimchagua wenyewe!!! TATIZO LENU MNACHAGUA CHAMA BADALA YA MTU ATAKAYESIMAMIA MAENDELEO.....!
 
Kwani Joseph Selasini si mwanachama wa kile chama chetu cha watu wa Rombo?Naona kama maono vile kwamba Selasini ni miongoni mwa watu watakaoweka historia ya kutinga bungeni kwa kipindi kimoja tu. Ametimiza ndoto yake ya kuwa mbunge ndio maana kwake yeye la muhimu ni posho. Ukigusa suala la posho, huyu mheshimiwa anaweza kukutoa utumbo!
 
Watu wa Rombo walikataa pesa mbili wakachagua 30 akija mwenye jina la nyingi anachukuwa Jimbo
 
SI mlimchagua wenyewe!!! TATIZO LENU MNACHAGUA CHAMA BADALA YA MTU ATAKAYESIMAMIA MAENDELEO.....!

Mkuu, niko tayari kushindia bamia au kumweka nyani kuwa kiongozi kuliko kuchagua MTU ndani ya CCM katika ngazi yoyote ile!!!!!
 
vipi yule basil mramba mna record zake za aliyotufanyia watu wa rombo??manake mramba amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 20 lakini jimbo ni la mwisho kwa umaskini kanda ya kaskazini'tumtafute mramba aeleze aliyofanya jimboni so far halafu tumpe selasini nafasi tumjudge baada ya miaka mitano
 
Mkuu, niko tayari kushindia bamia au kumweka nyani kuwa kiongozi kuliko kuchagua MTU ndani ya CCM katika ngazi yoyote ile!!!!!

Natumia cmu kwasasa ila nimeipenda sana hii,kesho ofisini kitu cha kwanza nikuwasha kompyuta na kukuangushia LIKE baada ya hapo ndo nitasaini kwenye daftari la mahudhurio kazini,kwangu mimi cdm kwanza then kazi,hata wakinipiga chini kazini poa tu but I hate ccm to the extremeeeeeeeeeeee
 
Hivi mbona wa2 mnafitina sana yani hata miaka mitano haijaisha mshaanza lawama sasa kwa namna hii mtapaje mabadiliko? Tumieni hata common sense! Halafu mbona mnapenda sana kumdis huyu bwana? Laiti kama mngekuja tabora si ndo mngelia hata machozi!
 
Ajirekebishe. Vinginevyo 2015 wala asifikirie kugombea.
 
Mimi ni mwana Rombo na mkereketwa wa maendeleo ya wilaya ya Rombo na taifa zima kwa ujumla hasa katika sekta nyeti ya ELIMU. Mbunge wangu Josephy Selasini kimya kimezidi hatukusikii ukiendesha harakati za maendeleo. Pengine unaziendelelza ila huweki wazi katika vyombo vya habari maana wengine hatupo jimboni,tupo sehemu mbali2za tanzanaia na dunia kwa ujumla. Tuna mawazo mengi sana chanya ambayo tungekushirikisha wewe kama mbunge yangesukuma mbele gurudumu hili la maendeleo. Tupo vijana wasomi wa fani mbalimbali ambao tunaweza kushirikiana na wewe katika kubuni mbinu mbalimbali za kuboresha na kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni mwetu. Ushauri wangu ni huu mheshimiwa.
Andaa mkutano wa wana Rombo wote waishio Dar es salaam na sehemu nyingine kwa lengo la kuwaleta watu pamoja ili tuweze kutafakari na kubuni ni kwa namna gani maendeleo ya Rombo yanaweza yakaboreshwa haraka iwezekanavyo.
mwisho nakutakia maendeleo mazuri katika shughuli zako.

Mtu hata miaka 2 hajatimiza mshaanza kumlaumu jamani?
 
sasa untmwambia nani matatizo yako, SI mlimchagua wenyewe!!! TATIZO LENU MNACHAGUA CHAMA BADALA YA MTU ATAKAYESIMAMIA MAENDELEO.....!

Kati ya wote waliosimama kupitia vyama tofauti tofauti huyu ndo alikuwa the best
 
Kwani Joseph Selasini si mwanachama wa kile chama chetu cha watu wa Rombo?Naona kama maono vile kwamba Selasini ni miongoni mwa watu watakaoweka historia ya kutinga bungeni kwa kipindi kimoja tu. Ametimiza ndoto yake ya kuwa mbunge ndio maana kwake yeye la muhimu ni posho. Ukigusa suala la posho, huyu mheshimiwa anaweza kukutoa utumbo!

Usimsingizie kwani hata haeleweki yupo yupo tu mpaka sasa ananipa wasiwasi maana warombo watakuja kumpiga chini mpaka yeye mwenyewe hatoamini
 
Mkuu, niko tayari kushindia bamia au kumweka nyani kuwa kiongozi kuliko kuchagua MTU ndani ya CCM katika ngazi yoyote ile!!!!!

Du kweli watu mmekichoka chama cha zimamoto kilichomadarakani ila kinaongozwa na upinzani
 
vipi yule basil mramba mna record zake za aliyotufanyia watu wa rombo??manake mramba amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 20 lakini jimbo ni la mwisho kwa umaskini kanda ya kaskazini'tumtafute mramba aeleze aliyofanya jimboni so far halafu tumpe selasini nafasi tumjudge baada ya miaka mitano

Wewe ni mwongo lile jimbo halipo nyuma kimaendeleo kama ulivyosema kwani watu wake wanajituma na maendeleo ya mtu binafsi yapo japo serikali anawalet down ila top 5 ya kanda ya kaskazini wamo
 
Hivi mbona wa2 mnafitina sana yani hata miaka mitano haijaisha mshaanza lawama sasa kwa namna hii mtapaje mabadiliko? Tumieni hata common sense! Halafu mbona mnapenda sana kumdis huyu bwana? Laiti kama mngekuja tabora si ndo mngelia hata machozi!

Wasi wasi alionipa mimi ni wakati wa shida ya sukari police walikuwa wakizuilia Himo kana kwamba rombo siyo Tz ila yeye akazidi kuwa kimya, mpaka rombo wakafikia hatua ya kupandisha bendera ya kenya hapo ndipo wasiwasi wangu juu yake ukanijia na kumwona hana hazi ya kuwa Cdm chama ambacho kinasifika kuwa na wapambanaji
 
Back
Top Bottom