Search results

  1. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Wakuu, nimeona barua mitaandaoni ikionesha kuwa imeandikwa na Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar, ninatafuta ukweli wa hiyo barua anayefahamu anijuze ili nicheke kidogo maaana Mimi sikusoma sheria ila kuna vitu huvihitaji kusomea mfano Kama hiyo barua ni ya ukweli basi kuna watu ndani Ya Jeshi...
  2. Joyce joyce

    Marekani akikohoa ukadharau utakuwa umejitoa ufahamu

    Kuna watu ambao Marekani akitoa onyo wanatukana na kusema asitupangie sisi ni nchi huru, naomba niwakumbushe kuwa chochote unachokifanya kinafika Kwanzaa Marekani ndio kinaenda Kwa mwenzako. Hizo documents mlizonazo kwenye website zote zinatunzwa Marekani hivyo wakitaka kuziangalia muda wowote...
  3. Joyce joyce

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Wakuu, nimeona wanasema kuwa kesho wanapokea Mabilioni Ya fedha toka barrick Kama gawio, Mimi ninachojua Nikuwa serikali hiii Ya magufuli inaweza fanya chochote kile inaweza kuigiza kuonesha watu mabilioni hewa, na inaweza Chukua hela ikaweka kwenye account Ya barrick Halafu ikawaambia tuletee...
  4. Joyce joyce

    PICHA YA SIKU

    Hao waliovaa nguo za chama ndio wafia chama hao waliovalishwa kofia ni wale waongeza vichwa wasiojua wamefuata nini waliokamatwa Kwa nguvu wamekuja kufungiwa hapo
  5. Joyce joyce

    Tunaposema kuwa haki imeporwa yote hadi kwa raia muwe mnaelewa

    Wakuu, kuna watu wakielekezwa na kuelimishwa Juu Ya haki kuporwa Kwa kipindi hiki cha miaka mitano muwe mnaelewa, Mimi ni Ccm dam dam miaka Yote japo sitapiga kura Kwa upande huo mwaka huuu. Wanachama wa CCM ndio waliokuwa wanamchagua Mbunge wa kugombea Kwa tiketi Ya CCM, wanachama wilayani...
  6. Joyce joyce

    Sasa hivi wanawavalisha wanafunzi nguo za CCM na kofia ili tusiwajue wakati wa kuongeza vichwa

    Hahahahhahahahahaha nimecheka, Mwanafunzi hata ukimvalisha gunia ataonekana tu, acha ushamba jamani, acha watoto wasome, wewe si unapendwa?
  7. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

    Wakuu, Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa. Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako...
  8. Joyce joyce

    Mlioko jimbo la Kawe poleni sana na huo usumbufu wa ngoma ya unyago

    Wakuu, kuna taarifa nimeziona zinazaagaa kwenye mtandao wa kijamii, watu wa Kawe wakilalamikia kelele zinazosababishwa na Ngoma zinazopigwa kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa kumi na mbili jioni na vijana wengi wanaopita kila Mtaa na kupiga Ngoma zenye sauti kubwa wakidai kuwa wanalipwa na...
  9. Joyce joyce

    Wao wanamtukana Lissu kila wakiwa na mkutano ila Lissu hawatukani

    Wakuu, huyu Polepole anamtukana lisu kisa yuko juu ya katiba; asubirie siku ifike aone ataeleza nani alikuwa anamtuma. Katika ufuatiliaji Wangu Siku zote sijawahi kumsikia Lissu akimtukana mtu, Lissu mikutano yote aliyohutubia amekuwa akieleza mabaya yaliyofanywa na Magufuli, akieleza madhara...
  10. Joyce joyce

    Tuombe kampeni hizi ziongezewe muda ili hii Serikali iendelee kupeleka maendeleo kwa wananchi

    Wakuuu, kwa sasahivi zimetolewa hela nyingi sana kwenda mikoani kwa ajili Ya Maendeleo Ya wananchi, pesa zinatumwa kila kukicha miradi Ya Maji, inafuguliwa, barabara hela zinatumwa, huko mahospitalini kumenoga mambo yanarekebishwa, wakuu kumbe serikali hiii ina hela nyingi hivyo? Tuombe tume Ya...
  11. Joyce joyce

    Kumbe kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa zilichangia watu kutoajiriwa

    Wakuu, leo nimeona zimetoka ajira za madkatari Kwa wingi, juzi juzi tangazo la ajira kwa walimu lilitoka. Nilichogundua kumbe hiii ya wanasiasa kupaza sauti ndio dawa ya Magufuli kumbe. Nimegundua kuwa kungekuwepo na shughuli za kisiasa miaka hiii yote, hili swala la kufuta ule utaratibu wa...
  12. Joyce joyce

    Wanaosema upinzani ukipita nchi itauzwa nijibu hili swali

    Wakuu, kuna watu wanazunguka kueneza uongo kuwa upinzani ukipita eti nchi hiii itauzwa Kwa wazungu, sasa naomba wanijibu haya maswali 1. Je nchi ikiuzwa sisi watu 55milioni tutawekwa wapi? 2. Je inamaanaa hii nchi itasukumwa had huko Ulaya? 3. Je ikiuzwa na sisi tuliomo ndani tutauzwa? 4. Je...
  13. Joyce joyce

    Ina maana haamini kuwa picha anazoona ni za mikutano ya Tundu Lissu?

    Wakuuu, nimemsikia mgombea mmoja akizungumzia picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamiii zikionesha nyomi ya mikutano Ya Lisu na kusema kuwa zile Picha sio za Mwaka huuu ni za Mwaka 2015, wakuu hili sio Jambo dogo Kama mnavyofikiria maana yake mzee haaamini hata kidogo kuwa zile nyomi ni za...
  14. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Kinachotokea Mlimba kulazimisha yule jamaa apite bila kupingwa

    Wakuu, kile kinachotokea Mlimba kulazimisha yule jamaa apite bila kupingwa, kinapaswa kutizamwa kwa jicho la pili, kila kitu kinaonesha kuwa yupo mtu wa ngaz ya juu pengne wa mwisho kule yuu kimamlaka ndio ametoa maelekezo kuwa tangaza hivi, kwa hiyo kama ameamua hivyo maana yake majimbo mengi...
  15. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

    Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo...
  16. Joyce joyce

    'Huwezi kumpelekea mtoto wa jirani yako chakula'. Hii nini wakuu sijaelewa

    Nimemsikiliza Magufuli sana juu ya hii kauli amekuwa akiirudia sana kuwa huwezi mpelekea jirani yako chakula Wakati Mtoto wako ana njaa, wakuu huyu ni Mkuu wa nchi ninavyojua ukiwa rais wewe ni rais wa nchi nzima, sassa hiii kauli anamaanaisha kuwa Maendeleo hawezi kupeleka kwenye majimbo yaliyo...
  17. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

    Wakuu, kuna Mgombea Urais mmoja leo amelalamika sana akituhumu watu wa vyama vingine kujitokeza kugombea nafasi ya urais, akisema kuwa mbona Mkapa, Kikwete na Mwinyi wao walipewa miaka kumi? Anahoji kwani yeye ana makosa gani? Nimeshindwa kuelewa wakuu kwani hao aliowataja walipita bila...
  18. Joyce joyce

    Usilinganishe mikutano ya nyomi ya Lowassa na nyomi ya Lissu

    Wakuu, kuna watu nimeona wakisema kuwa lowassa alijaza watu wengi kuzid Lissu Lakini bado CCM ikashinda, watu Hawa nikama vile wamekosa uchambuzi na uelewa wa kitaalam labda nikuelekezeni Ni kweli kuwa Lowassa alijaza watu Sana kuliko lisu na kuliko Magufuli na baado CCM ikashindwa, ila Faham...
  19. Joyce joyce

    Sheria ya Mfuko wa Jamii NSSSF iliyotungwa na Serikali ya Magufuli inatosha kumnyima kura

    Wakuuu, msisahau kuwa kuna Sheria iliyotungwa na Serikali ya Awamu ya Tano ya mifuko Ya jamiii, sheria hiii ni moja ya sheria mbovu zilizotungwa katika awamu hiii Ya tano, najua wapo watu wengi ambao sio watumishi wa umma na sio watumishi wa sekta binafsi na hawategemei kuwa huko, hivyo sheria...
  20. Joyce joyce

    CCM mpya hivi sasa wanawabembeleza CCM ya zamani na kuwaita ndugu

    Yani wale waliokuwa wanatamba kujiita CCM Mpya na dharau CCM ya zamani, walikuwa na mbwembwe za hapa na pale na kebehi nyiiingi na kuita watu kuwa wanawashwa washwa, Leo hiii inawawaita ni Ndugu, inawalagai na kuitabeli Ccm A. Mimi ninawwambia nimekubali kuja tuwe pamoja tutawatukana wapinzani...
Back
Top Bottom