Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Wakuu, kuna watu wanazunguka kueneza uongo kuwa upinzani ukipita eti nchi hiii itauzwa Kwa wazungu, sasa naomba wanijibu haya maswali
1. Je nchi ikiuzwa sisi watu 55milioni tutawekwa wapi?
2. Je inamaanaa hii nchi itasukumwa had huko Ulaya?
3. Je ikiuzwa na sisi tuliomo ndani tutauzwa?
4. Je mazao yetu yaliyomo kwenye hiii Ardhi nayo yataondoka Au watatuachia?
5. Na nyumba zetu je zitaondoka?
Haya Kama kweli itauzwa Mimi naomba waipeleke huko kwao na sisi tukaishi na wazungu bhana