PICHA YA SIKU

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Hao waliovaa nguo za chama ndio wafia chama hao waliovalishwa kofia ni wale waongeza vichwa wasiojua wamefuata nini waliokamatwa Kwa nguvu wamekuja kufungiwa hapo
IMG_20200929_202853.jpg
 
Chadema mnawakebehi wananchi wanyonge wasio na hatia yoyote

Kumbukeni ni hawa hawa watakaoenda kuwa mapilato oct 28

Time will tell
 
Back
Top Bottom