CCM mpya hivi sasa wanawabembeleza CCM ya zamani na kuwaita ndugu

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Yani wale waliokuwa wanatamba kujiita CCM Mpya na dharau CCM ya zamani, walikuwa na mbwembwe za hapa na pale na kebehi nyiiingi na kuita watu kuwa wanawashwa washwa, Leo hiii inawawaita ni Ndugu, inawalagai na kuitabeli Ccm A. Mimi ninawwambia nimekubali kuja tuwe pamoja tutawatukana wapinzani na kuwasema vibaya ila kwenye sanduku la kura nitawatosa na kupiga kura Kwa lisu ili hivyo vita mnavyosema kuwa upinzani ulishinda itatokea vita ili vitokeee tuanze upya pengne Ccm Mpya inaweza kufa ikabaki Ccm Yangu Ya zamani.

Maaana najua mkipita baada ya Uchaguzi mtaaanza tena kutubagua na kutukataa na kuwachukua Wapinzani Kwa kuwapa vyeo, kwenye sanduku la Kura mtajua mwajua.

Mlituletea hadi yule Musiba na kuanza kuwatukana baba zetu akina mzee makamba wazee wetu walipohoji wakafukuzwa Kama wanyama kwenye chama kisa mnabunduki na mabomu sasa hivi mmewaficha sijui wapi ili tusahau baada ya Uchaguzi mnamfufua musiba, tumbieni musiba yuko wapi, mmemficha wapi? Mmemficha akina musiba ili Uchaguzi upite mmlete tena kutukana wazee wetu

Tuko pamoja Lakini kwenye sanduku la barua mtajua mwajua tutawachinja maaana tunajua mkipita mtaanza kugawa vyeo Kwa upinzani akina lisu hao watapewa tena vyeo Wakati ndio wanatutoa jasho Hapa
 
Ccm Mpya mmemficha wapi Yule Musiba? Sasa hivi mbona hawatukani wazee wetu akina Makamba? Akina Kinana? Hahahahaha mmemficha Uchaguzi uishe aibuke na matusi Kwa Ccm ya xamani
 
Back
Top Bottom