Search results

  1. B

    Nishaurini Mtanzania mwenzenu

    Habari zenu wadau?matumaini yangu muwazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila cku kadri ya kila mmoja alivyojaaliwa. Me ni ndugu yenu, Mtanzania mwenzenu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kufanikiwa kupata cheti, tangu nimemaliza sijaweza kuyaweka vizuri maisha yangu kwa vile bado...
  2. B

    Kikwazo kaka mtu!!!

    Ksb nina nia ya dhati sikusudii ktnharibia maisha kwani hata mimi nisingalipenda aniharibie maisha.by SI unity
  3. B

    Kikwazo kaka mtu!!!

    Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love...
  4. B

    Tanzia

    INNALILLAHI WAINNAILAYHI RAJIUUN.Pole sana mkuu,tupo pmj kumuombea mtt wako awe na malazi mema,kaburini alipo.AMIN
  5. B

    Nawaombeni maujanja ktk hili.

    Habari zenu wana jf,natumai muwazima na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila leo.Kama inavyotakikana kila siku mtu afikirie ni nini afannye ili kipato chake kiongezeke,hivyo,hata mm nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza vocha kupitia cm ya mkononi/kwa njia ya kuwarushia...
  6. B

    Si atakuwa ananipenda au najidanganya?

    Wana jf,i have confirmed myself that nampenda na nipo tayari kuwa naye kimaisha.Huyu msichana nashindwa kumsoma anawaza nn juu yangu,hapo mwanzo niliwahi kumu-approuch ila nilimsoma hakuwa tayari ingawaje hakunitamkia rasmin kwamba hakunikubalia,bac,nikaachana naye tukawa tu nipo karibu naye...
  7. B

    Nifanye nini?

    Mtafutie siku tulivu na mazingira yaliyotulia,mkae pmj muongee kwa nini ameamua hivyo?then u will get solution.
  8. B

    Namsaport Lady JAY dee 100% "MOYO KIZA KINENE HUWEZI KUJUA...."

    Dah...!huyu mdada amekusudia kuua,20yrs ameiishi kwa kuzuga na mkaka wa watu!dah....!ama kweli (PENYE UONGO UKWELI UTAJIFICHUA TU)nampa pole huyo kaka.
  9. B

    Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

    Pole sana kwa msiba,Mungu amrehemu insh.
  10. B

    Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

    Fikiria kitu so as kumpima tu eg.mwambie akufuate sehemu fulani huku ukiwa na uhaki kwa nyakati hizo anakuwa bz sana huyo unayempenda kiac kwamba itakuwa vigumu kufika,mwambie afike hapo hali ya kuwa ww haupo kwenye hiyo sehemu,kwa kufanya hivyo utakua umemkosea sana,muombe msamaha akikubali jua...
  11. B

    Nahisi ishakuwa kero.

    Nashukuru mpaka sasa kupitia majibu yenu nimeweza ku-rise up 1.Sura,(jibu la Babii)na 2.Ukarimu,(jibu la the grate)nitawaleteeni kila nitakapoona inaweza ikawa jibu rasmin.
  12. B

    Nahisi ishakuwa kero.

    Wanadau sina lengo la kujisifu,ila lengo ni kujitambua kama kuna vijisababu vidogo*2 nijiepushe navyo nimridhishe mpz wangu.
  13. B

    Nahisi ishakuwa kero.

    Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa wanawake wengi hususan katika uwanja wa mapenzi?majibu yenu nahisi yataniwezesha kujitathmini maana...
  14. B

    Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

    Pole mzee wetu,insh Mw.Mungu atamuwafu.
  15. B

    Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa

    Masister tusaidieni basi hayo matendo mnayoweza kuyaonesha kwa mwanaume uliyemzimikia ili tufahamu jamani, itaturahisishia kazi.
  16. B

    Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa

    Mtambuzi tuekee hizo dalili za ukweli,tuwatambue maana sometime huwaga hatutaki kuchezewa na wasichana,tunawataka walioserious ili tujipe uhakika si unajua kumwagwa na chini nowmaaa!
  17. B

    Nimueleweje mpenzi wangu

    Me naona la kusema cna coz yote yaliyotokewa ni mazuri,labda cha kutilia nguvu ni kwamba filiria vipi utaweza kuilea mimba pmj na mtt wako mtarajiwa.
  18. B

    Je maamuzi haya yatakua sahihi?

    Vizuri sana wadau,mi ni kijana 21yrs old,ninachokita jinsi ya kuweza kuonana kwanza face to face,binafsi nimejitolea kwa kumfuata ppte alipo,ss nataka mawazo yenu ya uamuzi huu ukizingatia jinsi nilivyomuelezea na UTAPELI,kimaisha yeye anasomeka mambo safi kushinda mimi.
  19. B

    Je maamuzi haya yatakua sahihi?

    Natanguliza salamu kwa wana jf wote nawatakieni afya njema.Naomba michangio yenu,me ni kijana wa makamo tu,bado nipo single kama miaka 3 nyuma nilipata kuanzisha urafiki na msichana,mwanzo wetu ni kwamba nilikosea namba na nikampata huyo msichana,nikamshawishi tuwe marafiki japo kwenye cm tu,kwa...
  20. B

    Nataka biashara itakayonisomesha.

    Nawashukuru wote bado naendelea kupokea ushauri wenu.
Back
Top Bottom