Nahisi ishakuwa kero.

Black African

Member
Oct 17, 2011
24
3
Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa wanawake wengi hususan katika uwanja wa mapenzi?majibu yenu nahisi yataniwezesha kujitathmini maana wanawake hunizoea haraka na kunifanya niwe na idadi kubwa ya marafiki wa kike,hali ambayo mpz wangu haifurahii.pls nipatieni huu msaada.
 
aiseee hebu weka picha yako kwanza tuone kama kweli wewe kivutio isije ikawa upo kama umelipuliwa na baruti then unajisifu hapa
 
Yaani naona humu ndani wanajaribu kuingia kwa gia tofauti
haya na ww una sura nzuri, macho je?nayo mazuri

mwenzio jana kajisifia amejaliwa kila kitu kiasi kwamba madem wanampenda.
 
aiseee hebu weka picha yako kwanza tuone kama kweli wewe kivutio isije ikawa upo kama umelipuliwa na baruti then unajisifu hapa
theteheteheth!! Weka picha tukudhaminishe ili tukupe ushauri wa kiutu uzima!!
 
Wanadau sina lengo la kujisifu,ila lengo ni kujitambua kama kuna vijisababu vidogo*2 nijiepushe navyo nimridhishe mpz wangu.
 
haya bana
sifa za wanaume zinazidi kupungua
ngoja nikapunge upepo nje nitarudi mwaka ujao kuja kujibu hapa
 
Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa wanawake wengi hususan katika uwanja wa mapenzi?majibu yenu nahisi yataniwezesha kujitathmini maana wanawake hunizoea haraka na kunifanya niwe na idadi kubwa ya marafiki wa kike,hali ambayo mpz wangu haifurahii.pls nipatieni huu msaada.

Nahisi kama unajikampenia humu! isije kuwa unasura ngumu kama mtegua mabomu mpaka dada zetu wanakukimbia!
 
Nashukuru mpaka sasa kupitia majibu yenu nimeweza ku-rise up
1.Sura,(jibu la Babii)na
2.Ukarimu,(jibu la the grate)nitawaleteeni kila nitakapoona inaweza ikawa jibu rasmin.
 
sasa kwanini usiwaulize hao wanawake wanaokushobokea wakakwambia kwanini? au hayo mamneno unayoyasema angesema G/F wako ungejisikiaje? na inakuwaje hasa wanaume wengine wanapenda ubishoo mie nnawaonea hurumaa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom