Je maamuzi haya yatakua sahihi?

Black African

Member
Oct 17, 2011
24
3
Natanguliza salamu kwa wana jf wote nawatakieni afya njema.Naomba michangio yenu,me ni kijana wa makamo tu,bado nipo single kama miaka 3 nyuma nilipata kuanzisha urafiki na msichana,mwanzo wetu ni kwamba nilikosea namba na nikampata huyo msichana,nikamshawishi tuwe marafiki japo kwenye cm tu,kwa mara ya kwanza alikataa na mvua ya matusi kuninyeshea,kutokana na hali hiyo nikasita kumpigia cm,ila kwa mda akarudi matawi ya chini akaanza kunipigia na tukawa tunaendelea kuongea hadi leo mwaka wa 3.Backgraund ya ke anasema ni msichana 17yrs old ni yatima anaishi na mama tu huko Magomeni Dar,kiukwe hivi sasa tumezoeana sana tunaongea na kufurahi kwa pmj nikimtaja vocha hacheleweshi yaani kiujumla tunavowasiliana tu tayari ameshaziteka hisia zangu.Sasa chakunisaidia me nipo ZNZ yeye yupo DAR,yeye kuja huku hataki mm nilipata kusafiri kwenda Dar mara moja tu tulipanga kuonana hata hivyo hakuwa tayari,binafsi nataka nimuandalie safari nyengine,sijue mnanambiaje ukizingatia na masuala ya UTAPELI.
 
Ana 17 yrs? Na ulianza uhusiano naye 3 yrs back? I mean akiwa na 14 yrs? Na pia umesema wewe ni wa makamo? Nahisi kama ni mdogo sana brother! Nakushauri kama kweli ameteka hisia zako na una upendo wa dhati kweli, Msaidie aweze kutimiza ndoto zake za kimaisha ikiwepo elimu na baadaye ajira na maisha bora.

Mimi concern yangu ni hali yake ya uyatima na nafikiri ni vizuri pia kuwa waungwana na kuwajali watoto wa namna hii ambao kimsingi wanahitaji zaidi faraja za dhati.

Tafakari brother, chukua hatua ....
 
hebu kuwa wazi wewe una umri gani maana kusema tu kijana wa makamo haitoshi ... pia huoni kwamba yuko chini ya miaka 18 wewe hapo unawezia jinsi ya kumpata kwa nini usimsaidie kimawazo masuala ya shule kwanza asome???
 
Bado mdogo jaman!kama unampenda kweli msaidie kutimiza ndoto zake za kupata elimu kwanza akishakuwa na kazi au msingi mzuri wa maisha na umri utakuwa umeruhusu ndio uongee naye mambo ya mapnz,hofu yangu ni kwamba km utakosa busara za kusubiri kwanza itakuwa ni rahisi sana kwa yeye kurubunika nawe kutokana labda na aina ya maisha anayoishi,umri wake mdogo au ufukara na mambo km hayo,plz jitahidi kuvumilia unavyojisikia juu yake na umsaidie asome kwanza!
 
Vizuri sana wadau,mi ni kijana 21yrs old,ninachokita jinsi ya kuweza kuonana kwanza face to face,binafsi nimejitolea kwa kumfuata ppte alipo,ss nataka mawazo yenu ya uamuzi huu ukizingatia jinsi nilivyomuelezea na UTAPELI,kimaisha yeye anasomeka mambo safi kushinda mimi.
 
Pole sana mdogo wangu cha kufanya tafuta wa makamo yako achana na u18 mwache asome kwanza.........
 
Vizuri sana wadau,mi ni kijana 21yrs old,ninachokita jinsi ya kuweza kuonana kwanza face to face,binafsi nimejitolea kwa kumfuata ppte alipo,ss nataka mawazo yenu ya uamuzi huu ukizingatia jinsi nilivyomuelezea na UTAPELI,kimaisha yeye anasomeka mambo safi kushinda mimi.
mpemba kakimbia madrasa!!
 
Unachotaka ni kipi?Kuonana nae sio?Kopa nauli kamtafute uonane nae uso kwa uso.Hapo ndo utajua kama ana miaka 10,18,45,ama 70 nk!Halafu unaogopaje utapeli we si mtu mzima bana?
 
umeitamani sauti yake shekhe! humjui, hujawahi kumwona, then kaziteka hisia zako? ok! jitahidi kumshauri asome kama ni mwanafunzi.
 
Nitume mimi nikamuone, ah basi nitaonekana Fataki bure. Halafu mbona wanawake wapo tu au upo tayari kuoa? mbona mwenzako ni u18!
 
Vizuri sana wadau,mi ni kijana 21yrs old,ninachokita jinsi ya kuweza kuonana kwanza face to face,binafsi nimejitolea kwa kumfuata ppte alipo,ss nataka mawazo yenu ya uamuzi huu ukizingatia jinsi nilivyomuelezea na UTAPELI,kimaisha yeye anasomeka mambo safi kushinda mimi.

We kaonane nae tu sio mbaya. But kama unataka kupeleka mazoezi ya judo huko, utakuwa umehusu SOSPA yakhe!!
 
Unapofanya mambo kuwa na utayari wa negativity pia positivity na ukumbuke kuna kulizwa ktk love, binafsi naona huyo bado ni mdogo kiukwel maamuz atakayoyafanya yatakua ya kitoto bila kufikiria future na akija kulimbuka utakuja kulia na kujuta kumfahamu. Ckukatishi tamaa u can try kwan huwez kujua.
Mawazo yangu!
 
Sasa ustaadh huo utapeli unatokea wapi? Hapo ndo sielewi bado!
Afu acha wenge endelea kumsubiri avuke ile miaka ya sheria ili usikwaruzane na Pinda, coz mkionana saiv na hali yako hyo unaweza ukawiwa kumchakachua huyo binti wa jamuhuri afu soo itakuwa kwako!
 
kaka cku hizi ukikamatwa na mwanafuzi kuna option mbilii......!ya kwanza ni kujenga madarasa ma wili yani A na B,na kila darasa moja ni sh mil 80 na ya pili ni kwenda jela miaka 30...!sasa kaka unachagua lipi..?achana na huyo mtt..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom