Si atakuwa ananipenda au najidanganya?

Black African

Member
Oct 17, 2011
24
3
Wana jf,i have confirmed myself that nampenda na nipo tayari kuwa naye kimaisha.Huyu msichana nashindwa kumsoma anawaza nn juu yangu,hapo mwanzo niliwahi kumu-approuch ila nilimsoma hakuwa tayari ingawaje hakunitamkia rasmin kwamba hakunikubalia,bac,nikaachana naye tukawa tu nipo karibu naye kikawaida.Sasa hivi naona amebadilika amezidi kunichangamkia,ananiambia mambo yake nahic ni ya siri,ninapomuagiza kitu hacheleweshi,ananitaka nifike kwao bila ya wacwac ukizingatia anaishi na wazee wake.kwa hali hiyo nahic atakuwa amedevelop felling,lkn nashangaa hanipigii cm mpk me nianze,hanitumii hata sms,hajanitaka msaada hata siku 1,sasa nataka nimpime ili kumjaribu ni kwa kiasi gani ananijali,tayari nilianza kwa kumuazima cm yake niitumie muda wa wiki 1 bila ya yy kuepo hewani,hili amenikubalia nisaidieni jinsi ya kumpima ksb nimepanga kumfungulia ukurasa mwengine mwishoni mwa mwezi huu,ikiwa atafauli mitego yote nitakayomuwekea.Au mnanambiaje?maana hawa wadada wanauwezo mkubwa wa kutupelekesha.
 
Sasa unataka kumpima kitu gani mtu ambae huna mahusiano nae?Kinachokunyima kumuuliza ni nini?Watu wengine bana . . . .kama domo zege mtumie hata sms.
 
Sasa unataka kumpima kitu gani mtu ambae huna mahusiano nae?Kinachokunyima kumuuliza ni nini?Watu wengine bana . . . .kama domo zege mtumie hata sms.
Huyu hata mshikaji inawezekana akampiga bao....
 
Hahahahaha! Kumbe nikifungua Psychology business nitapata wateja wengi sana...
we huoni huyu ni anaumwa?
mwanamke keshakubali kufunga ndoa..sasa wewe unataka kumpima
umpime nini tena?
we muoe ukae nae ndo utamjua vizuri na yeye atakujua vizuri
feelings ndo zitakuwa strong.....sasa yeye kakazania nimpime nimpime.... si kuumwa huko?
 
Hehehehe. . .ngoja nimfundishe mshkaji usanii akija anisaidie kupiga watu mizinga.Katabasamu kake si katawakamateni ehhhhhh?
Yaani subiri kupokea kesi za kusingiziwa za mshikaji..kale katabasamu kake ni sumu kabisa....lol
 
Ha ha ha, amplified insanity.
pima ili wenzio waje kuoa ukiwa hapo hapo
 
sio muchezo vituko haviishi, mshikaji nafikiri mshikaji kasoma shule ya baba paroko ambapo kutongoza ni kama uhahin, ila waliosoma hukt mwalimu anakuambia utongoze ukishindwa anakucharaza viboko
 
mwaya mpime tu sikuu hii we endelea kupima na hakikisha unapima kila kitu urefu na upana.
 
sio muchezo vituko havish, mshkaj nafkir mshkaj kasoma shule ya baba paroko ambapo kutongoza ni km uhahin, ila waliosoma hukt mwalim anakuambia utongoze ukishindwa anakucharaza viboko

yawezekana unalolisema mkuu
 
Sasa unataka kumpima kitu gani mtu ambae huna mahusiano nae?Kinachokunyima kumuuliza ni nini?Watu wengine bana . . . .kama domo zege mtumie hata sms.

Nimegundua jamaa hajiamini....ndo maana kitu kidogo anaki-judge, huyu jamaa badala ya kukaa nae chini amuulize huyo mdada nini tatizo anakuwa hatext au hapigi..tayari anatengeneza mitego..yaani huyu design wale wanaume wanaoaga wamesafiri ili arudi usiku wa manane kufumania akirudi anakuta mdada wa watu anajitazamia Tv au kalala..,..limemshuka!!
 
Jipimie kaka! tena weka mitego migumu migumu, kama ya kulala na dada yake, au kumtumia watu wamtongoze huku wewe hujibu sim zake wala sms. changa vipimo kama 3 au 4 kwa pamoja alafu kama baada ya hapo bado anakupenda ndio muendelee next level. Pia hata mkiwa ndani ya ndoa endelea kumpima pima kila wakati kuhakikisha bado anakupenda.
hahahahaha
 
Back
Top Bottom