Kikwazo kaka mtu!!!

Black African

Member
Oct 17, 2011
24
3
Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love messages tulitumiana kila m1 akawa ana hamu ya kumuona mwenziwe,wiki 3 nyuma tulionana live kila m1 alithibitisha kuwa huyu ndie,wiki 1 baada kuonana ckuganda ksb alinivutia na signali zake zinasomeka poa hivyo nilimu-approuch tuwe wapenzi wa kudumu bahati nzuri kanikubali,hivi sasa penzi letu ni changa sana tuna siku 12 tu,hivi sasa wiki imepita cm yake haipokelewi,cku 1 kama zari imepokelewa akaniambia cm yake ameichukua kaka yake tangu cku hiyo leo ya 4 naipiga haipokelewi, kabla hatujaonana aliwahi kuniambia nyumbani kwao anabanwa sana kiasi cha kutembea haruhusiwi.Binafsi nina nia ya kumpenda kwa upendo wa dhati lkn kaka yake amekuwa kikwazo,kuhusu age she's 18 yrs old and me 21yrs old kaka yake umri sawa na mimi ,faida 1 kuwa mama yake yuko fair,wala haishi na baba yake.
 
Ksb nina nia ya dhati sikusudii ktnharibia maisha kwani hata mimi nisingalipenda aniharibie maisha.by SI unity
 
hujatueleza hata kama una ajira au unataka kutubebesha kazi ya kulea watoto wa mtaani.......lol
 
Ksb nina nia ya dhati sikusudii ktnharibia maisha kwani hata mimi nisingalipenda aniharibie maisha.by SI unity
.
Unaonekana una munkari/mzuka sana na mapenzi kijana. I thnk umri wako ni umri wa kuwa college/university na umri wa binti at least form 5 ndo maana nimekuambia nenda nae taratibu. Ndege wako mwnyw manati ya nini? Kaka mtu hawezi zuia mdogo wake asipende/kupendwa, its the matter of time!
 
Ww na hicho kifaranga chako wote watoto,akil ya kitoto umri mdngo shule ndogo mapenz ya kitoto...unataka ushauriwe nin hasa?2mia kama mwanzo fb au hata hapo kaka ake atagoma?
 
Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love messages tulitumiana kila m1 akawa ana hamu ya kumuona mwenziwe,wiki 3 nyuma tulionana live kila m1 alithibitisha kuwa huyu ndie,wiki 1 baada kuonana ckuganda ksb alinivutia na signali zake zinasomeka poa hivyo nilimu-approuch tuwe wapenzi wa kudumu bahati nzuri kanikubali,hivi sasa penzi letu ni changa sana tuna siku 12 tu,hivi sasa wiki imepita cm yake haipokelewi,cku 1 kama zari imepokelewa akaniambia cm yake ameichukua kaka yake tangu cku hiyo leo ya 4 naipiga haipokelewi, kabla hatujaonana aliwahi kuniambia nyumbani kwao anabanwa sana kiasi cha kutembea haruhusiwi.Binafsi nina nia ya kumpenda kwa upendo wa dhati lkn kaka yake amekuwa kikwazo,kuhusu age she's 18 yrs old and me 21yrs old kaka yake umri sawa na mimi ,faida 1 kuwa mama yake yuko fair,wala haishi na baba yake.
hivi umeshajipanga kimaisha kijana? it is too early even to think of it. muda huu kama upo chuo ungekuwa unawaza kuepuka supplementary au unawaza february ya next year.it is even ashame to bring your complain here. Go and think it over
 
Soma bwana achaa kulalamikia vibinti ukimtia mimba wazazi wako watasema sio yako manake wewe mdogo,ebu tuliza usome utazichoka hizo K kila siku zinazaliwa mpya....
 
mwambie akuonjeshe kwanza utoe kifuniko. alafu mwendelee kusoma atakuwa poa. mkuu biashara asubui jioni maesabu. chamuimu tpa kifuniko kwanza, but kama kishatolewa basi someni kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom