Search results

  1. siemens c25

    Jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes.

    Jamani wadau nimeskia unaweza kufanya maujanja ya kuchakachua king'amuzi cha startimes na ukapata machanel yote bila kulipia jamani anayejua anijuze basi.
  2. siemens c25

    vorkswagon

    jamaa alikuwa safarini kikazi akafikia guest sikuiyo alijiona mnyonge akaamua kumuuliza muudumu m1 wa kiume kuwa anashida na demu muudumu akamwambia mademu wapo ila sisi tunawatambua kwa majina ya magari jamaa akasema sasi niitia benz muudumu akasema limetoka sasaivi"ila limebaki vorkswagon tu...
  3. siemens c25

    msaada waungwana

    jamani mimi laptop yangu haionyeshi marafiki zangu walio online lakini mwazoni nilikuwa nawaona je waungwana tatizo ni nini
  4. siemens c25

    Naombeni msaada kitufe cha inter kinanizingua

    jamani me natumia laptop aina ya acer sasa nikiwa online mfano nikiingia facebook nikiandika comment au nikiwa nachat nikibonyeza kitufe cha inter badala ststus nayoiandika ionekane imekaa hapo laptop yangu inakua kama nimebonyeza back na haionekani palenifanyeje
  5. siemens c25

    Diwani wa chadema mbaroni

    diwani wa kata ya kijitonyama bwana juma uloleulole[chadema] jana alikamatwa na polisi kwa kosa la kujaribu kubaka mpaka muda huu bado yuko lockup ya kituo cha polisi kijitonyama mabatini:eyebrows:
  6. siemens c25

    mwakajana nilitaka kunya

    Kunamwaka nilikuwa chuo tulipoitimu siku ya maafari tulibahatika kupata prf mmoja toka marekani mwaka uliotangulia kablayetu alialikwa lkn hakuja alipokaribishwa kuongea nasi alisimama na kuongea kwa kiswahili alisema:mwaka juzi nilitaka kunya nikaharisha,mwaka jana nilitaka kunya tena...
  7. siemens c25

    Jamani naombeni ushauri

    mimi ni kijana nileyeoa mwaka mmoja uliopita mkewangu sasa anaujauzito wa miezi7 tofauti na zamani sikuizi kila nikimuomba unyumba anadai nyonga zinauma hivi wanawake wajawazito huwa wanakuwa hivyo? Nifanyaje mana sitaki kuisaliti ndoa yangu
  8. siemens c25

    Hello

    me mgeni jamani naombeni ushirikiano wenu
Back
Top Bottom