siemens c25
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 217
- 44
jamani me natumia laptop aina ya acer sasa nikiwa online mfano nikiingia facebook nikiandika comment au nikiwa nachat nikibonyeza kitufe cha inter badala ststus nayoiandika ionekane imekaa hapo laptop yangu inakua kama nimebonyeza back na haionekani palenifanyeje