Search results

  1. M

    Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

    Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi. Chanzo kiliendelea kutambaa na mistari kuwa ilitokea purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia Mbwana Matumla kwa...
  2. M

    (SAIKOLOJIA) Yajue matatizo ya kupenda kupita kiasi

    Kupenda ni jambo muhimu katika maisha ya mwanadamu, kwa sababu asilimia kubwa ya matendo ya mtu huongozwa na mapenzi. Baadhi yetu tuko tayari kupoteza maisha kama tutaachwa na wapenzi au kukosa mambo tuliyoyapenda. Kupenda kwa kiwango cha kushindwa kujizuia na kuvumilia ni hatari kwa afya...
  3. M

    Je wajua jinsi wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume?

    Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii. Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha...
  4. M

    Video mpya ya rihanna "we found love" ni funiko bovu

    Video za RIHANNA kwa mwaka huu pekee zinatia fora!!!!!!!! Nikianza na wimbo wake wa S&M ulikuwa ni "MOTO" sana kiasi cha kushindwa kupigwa ama kuoneshwa katika baadhi ya Television kwa sababu za kimaadili.Hata hivyo,WACHINA waliamuru wamiliki wote wa MITANDAO kuutoa wimbo huo katika...
  5. M

    Masaa 18 kabla ya kifo cha gaddaf

    KUNA mvutano kuhusu mazishi ya marehemu Kanali Muammar Gaddafi, watu wa kabila la kiongozi huyo wa zamani wa Libya, wanadai mwili wa ndugu yao ili wauzike kwa heshima, wakati Baraza la Mpito linaweka ngumu na kusisitiza kwamba atazikwa kwa siri kubwa. Tumefanikiwa kupata historia fupi ya...
  6. M

    Mikakati ya kuwabambika kashfa viongozi wa CHADEMA yaandaliwa

    NGUVU ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imezidi kukinyima usingizi Chama cha Mapinduzi (CCM), na sasa inadaiwa kuwa mikakati imenza kusukwa ili kuwabambika kashfa baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA kwa lengo la kuwadhoofisha wao binafsi na chama kwa ujumla. Habari za...
  7. M

    Kikwete ahofia kung'olewa CCM kwa madai ya kushindwa kukiendesha chama

    RAIS Jakaya Kikwete sasa anakabiliwa na wimbi zito la kujinasua kutoka kwenye mpango unaosukwa na makada wa chama hicho kumng'oa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Makundi yanayotaka kumng'oa yanadai ameshindwa kukiendesha chama, na hali hiyo imeifanya serikali kuwa...
  8. M

    Tuhuma na mipango ya kuuawa kwa Mwakyembe ipo kwa IGP

    FEBRUARI 8, mwaka huu, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam. Baada ya maelezo hayo, polisi walimtaka aweke madai yake kwenye maandishi na siku moja baadaye Dk. Mwakyembe aliwasilisha taarifa yake...
  9. M

    Aunt Lulu aparamia pombe na kufanya mambo yasiyo na heshima hadharani

    Mtangazaji mahiri wa Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa akiwa hoi kwa kilevi na kuwaacha wadau midomo wazi Kituko ni kwamba, Aunty Lulu alifakamia pombe hizo zilizompeleka hali ya ‘u-tilalila’ katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mitihani ya kumaliza masomo ya...
Back
Top Bottom