Je wajua jinsi wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume?

mtundu

Member
Oct 6, 2011
22
7
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii.

Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi katika jamii yetu.

Hata hivyo, utafiti unaonesha kwamba wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa kuwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao.

Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa ushahidi wa kitaalamu ufuatao:

<<BOFYA HAPA>>
 
Mwe utafiti umetaja mambo makuu
1. Kauli - eti mwanamke ukiwa mnamkashfu mumeo live kuwa hawezi tendo la ndoa - unaua nguvu zake
2. Ujuzi - Mwanamke ukipunguza ujuzi wa kumsaidia mwenzio kuwika (sasa hapa sijui ni kusababisha au kusaidia kuregain)
3. Usafi - Uchafu wa wmanamke hupelekea nguvu kufa !!
4. Gubu -
5.Usaliti - mume akijua mkewe anamsaliti basi ni rahisi kujikuta nguvu zake zaisha.

Mh sina uhakika na namba 1,2,3 na 4 kwa sababu wengi huwa wanaresort kwa kutafuta nyumba ndogo sasa ina maana hata huko kwenye nyumba ndogo, nguvu huwa hafifu!!
 
Summary ni kuwa kinachosababisha kuisha nguvu ni STRESS. Mke mara nyingi sana ni STRESS ENGINE kwa mme wake. Mastress yakizidi sana na hamu inapaa hewani.

Dawa ni Mazoezi ya viungo na kujitenga na chanzo cha STRESS.
 
Tatizo kubwa linalowasumbua wanaume wengi ni kutokula mlo wa kutosha, ama aina ya vyakula na vinywaji tunavyotumia.
 
Tatizo hili limejaa mjini Dar tu tena Ilala na Kinondoni! Temeke hawana habari ya uwepo wa tatizo hili. Na kule mikoani ndo kabisa kuna familia watoto kila mwaka wanazaliwa utafikiri hawana kazi nyingine. Sasa tunatafuta pakutokea. Tatizo la kina baba tunawasingizia kina mama! Would that address the real problem?
 
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii.

Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi katika jamii yetu.

Hata hivyo, utafiti unaonesha kwamba wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa kuwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao.

Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa ushahidi wa kitaalamu ufuatao:

<<BOFYA HAPA>>

sina research nlofanya na staki kuhukumu wanawake kwa matatizo yanayowapata wanaume.wanawake wameshabeba matatizo ya kutosha.ila wazo langu ni kwamba itakuwa ni vema tu likiwakumba wengi especially wale wenye tamaa na kupenda hayo mambo kupita kiasi mana itasaidia kupunguza maambukizi na kuwasaidia wanawake waliomo kwenye ndoa kutopata mabalaa ya kuletewa magonjwa n.k.mana kwa hali ya ndoa za siku izi tatizo ni uaminifu.izo nguvu watu wameziabuse sana sasa anatafutiwa sababu mwanamke.mh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom