Search results

  1. KASSON

    Azam Tv Leo Morogoro inamatatizo

    Leo matangazo ya Azam morogoro hayapatikani,cjui tatizo nini
  2. KASSON

    Kioo cha simu Gowin model F7 kinahitajika

    Mwenye kioo tajwa jamani tuwasiliane ni PM
  3. KASSON

    Mwenye uwelewa kuhusu malipo kwa kampuni Viettel Tanzania

    Nilikuwa naomba anayejua kama Hawa jamaa wanalipa mishahara mizuri?
  4. KASSON

    Crdb sim banking na dana dana ninazozipata

    tatizo langu limepatiwa ufumbuzi naipongeza CRDB bank kwa kutatua kero kwa haraka. Asanteni kwa huduma bora.
  5. KASSON

    Leo Gazeti la Tanzania Daima limekuwa adimu hapa Morogoro

    Siku ya leo hapa Morogoro Mjini nimetafuta gazeti la Tanzania Daima hadi nimechoka na si kawaida ,kwani lina habari gani muhimu hadi liishe mapema hivi,kila muuza magazeti nikimuuliza anasema kamaliza!!
  6. KASSON

    Msaada Tecno N3

    Msaada wa kupata setting za ku access internet manually VODA na Airtel kuiwezesha simu yangu kufungua Internet
  7. KASSON

    Walimu wapya waanza kutaabika

    Walimu wapya walionza kazi mwishoni mwa mwezi wa pili wameanza kutaabika baada ya kukuta hamna majina yao kwenye Payrol ,huku wakurugenzi Wakiwakwepa kuwasaidi,habari nilizopata kutoka Wilayani zinasema mkurugenzi kawatolea nje kuwasaidia!Mwanzo wa malimbikizo na mizozo ndio huanzia hapa.
  8. KASSON

    Natafuta mdada wa kuoa

    Natafuta mdada wa kuoa Sifa:awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea,sio mnene sana,awe anafanya kazi au Biashara,umri kuanzia miaka 26 hadi 36 Kuhusu mimi:Elimu yangu kidato cha nne +some college's proffesional certificates ,Nimeajiriwa na moja ya kampuni kubwa kabisa ya uwekezaji DSM...
  9. KASSON

    UVCCM: Wazee tatizo CCM!

    MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Benno Malisa, ameibuka na kudai kuwa wazee ndio kiini cha mipasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya chama hicho na taifa, huku akionya kuwa hali ya kisiasa ndani ya chama hicho tawala kwa sasa si ya kuridhisha, kwani kimepoteza...
  10. KASSON

    Ninawezaje kutumia internet nokia n95

    Nimenunua Nokia N95,Lakini kila nikijaribu kuingia kwenye internet haikubali?
  11. KASSON

    Kiwanja kinauzwa

    Ninauza kiwanja hakijapimwa,Kipo Kibada mbele ya kigambo njia ya kuelekea Kisarawe Dar es salaam,Ukubwa robo Heka,Bei 3m maelewano yapo,Mauzo yatafanyika chini ya usimamizi wa Serikari ya mtaa.Call 0767405200
  12. KASSON

    Kiwanja kinauzwa kibada

    Kiwanja kinauzwa,Kipo Kibada Dar es salaam,ukubwa robo Heka,Bei ni 3million mazungumzo yapo taratibu zote za mauziano zitafuata kwa kusimamiwa na mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa.Call 0767405200
  13. KASSON

    Kiwanja

    Ninauza kiwanja kipo KIBADA MRUNGU,DAR ES SALAAM,Ukubwa ni robo Heka,Bei ni 5million.CALL 0767405200 or krubeya@yahoo.com,Serious buyer only.
Back
Top Bottom