Kiwanja kinauzwa

KASSON

Senior Member
Sep 13, 2011
194
19
Ninauza kiwanja hakijapimwa,Kipo Kibada mbele ya kigambo njia ya kuelekea Kisarawe Dar es salaam,Ukubwa robo Heka,Bei 3m maelewano yapo,Mauzo yatafanyika chini ya usimamizi wa Serikari ya mtaa.Call 0767405200
 
Ninauza kiwanja hakijapimwa,Kipo Kibada mbele ya kigambo njia ya kuelekea Kisarawe Dar es salaam,Ukubwa robo Heka,Bei 5m maelewano yapo,Mauzo yatafanyika chini ya usimamizi wa Serikari ya mtaa.Call 0767405200
Geography mimi siijui au mleta mada au kuna kisarawe nyingine tofauti nayo ifahamu ambayo iko njia gongolamboto??au kuna njia nyingine kupitia kigamboni kwenda kisarawe??au mkuranga na sikigamboni??yote inawezekana ila naomba majibu!!:spy:
 
Ninauza kiwanja hakijapimwa,Kipo Kibada mbele ya kigambo njia ya kuelekea Kisarawe Dar es salaam,Ukubwa robo Heka,Bei 5m maelewano yapo,Mauzo yatafanyika chini ya usimamizi wa Serikari ya mtaa.Call 0767405200

Mhh kuna harufu ya kutapeliwa hapa kibada ipo njia ya kuelekea Kisarawe? Kuna kisarawe huko Kigamboni?
 
Bora nimsaidie mwenyemada kisarawe zipo mbili kuna kisarawe ya uzunguni ambayo ipo upande wa pugu nakisarawe yakibada ipo baada yakupita kibada kama unaenda Darzoo. hoja yakuuliza hapa huyu nduguyetu anauza shamba sio kiwanja kawaida kiwanja huwa na hati kwabei himkuu hutapata mtu maana kiwanja nahati kinapatika kuanzia M3 Mpaka M5 kibada napajua ndipo nilipo olea
 
Wakuu, majina yanafanana tu,
Mfano wengi wanaijua Kongowe mbele ya Kibaha,
But hata Kigamboni pia kuna Kongowe ambayo inaungana na mbele kidogo ya Mbagala.
Pia Usishangae Chanika njia ya Pugu Road kuna Masaki na Kigogo vilevile.
Ni vijimambo tu vya huu mji wetu wakuu!!
 
geography mimi siijui au mleta mada au kuna kisarawe nyingine tofauti nayo ifahamu ambayo iko njia gongolamboto??au kuna njia nyingine kupitia kigamboni kwenda kisarawe??au mkuranga na sikigamboni??yote inawezekana ila naomba majibu!!:spy:

kaka umekariri,mbezi dar ziko ngapi?panda gari kigamboni shuka kibada alafu uliza mtu yeyote njia ya kwenda kisarawe utaonyeshwa!please usikurupuke uliza kwanza.
 
Watu wengine wanakurupuka mji hawaujui,kisarawe ziko mbili,hiyo ya pugu road na ya kibada,wapinga tangazo mmekurupuka mji hamuujui
 
mhh kuna harufu ya kutapeliwa hapa kibada ipo njia ya kuelekea kisarawe? Kuna kisarawe huko kigamboni?

umekurupuka kisarawe ziko mbili moja pugu road nyingine mbele ya kibada,uliza kabla hujaropoka!
 
Mimi nimetoka huko kuulizia kiwanja kilichopimwa juzi vimepanda bei hadi 10m.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom