Search results

  1. itagata

    Msaada juu ya Taratibu za kuanzisha Chuo

    Habari wana JF! Nina mpango wa kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa course kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwenye fani za Kilimo, Mifugo na maendeleo ya jamii mkoani Singida. Naomba ushauri kutoka kwa Wana JF wowote wenye kujua utaratibu ukoje ambao unaweza...
  2. itagata

    Nahitaji Incubator haraka

    Habari za leo wana JF, Ninahitaji incubators zenye uwezo wa kuchukua mayai kati ya 140-180, kwa yeyote mwenye nazo naomba aje PM ili tuwasiliane ili tufanye biashara. Asante.
  3. itagata

    Msaada wa Kioo cha TV - Boss inch 49

    Habari za leo wakuu, jana nimerudi nyumbani kutoka kwenye mizunguko yangu, nmekuta mtoto wangu mdogo kaigonga TV na kitu ambacho kimesababisha kupata mipasuko midogo midogo ambapo sasa haioneshi kabisa. Naomba kwa anaejua anisaidie wapi naweza pata kioo cha TV aina ya Boss inch 49 ili niweze...
  4. itagata

    Nimeibiwa simu zangu - msaada tafadhari

    habari za jioni wanajukwaa, Ni miezi miwili sasa imepita toka nilipoibiwa simu zangu kwa wezi kuvunja dirisha na kuchukua simu mbili pamoja na TV, pamoja na kupeleka IMEI number polisi, bado sijapata uelekeo wa kupata vitu vilivyoibwa. tafadhar naomba msaada kwa mtu mwenye uelewa ambae anaweza...
  5. itagata

    Subaru Forester

    Jamani nahitaji subaru Forester iwd katika hali nzuri mwenye nayo ani PM bajeti yangu ni 6,000,000.
  6. itagata

    Kwa anaejua hili anisaidie (injini za Magari za Kichina)

    Nimekua natumia gari aina ya Pajero kwa Muda sasa na imejitokeza likapata matatizo ya Injini yake (4D56), nimejaribu kununua injini zimefika 3 mpaka sasa lakini zote zinasumbua baada ya miezi miwili au mitatu toka kuzifunga. Imefika kipindi sasa nimekata tamaa nafikiria kuweka injini aina...
  7. itagata

    Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

    Habari wadau, Akaunti yangu ya Gmail imejaa na nataka kuongeza plan kwa kuilipia ili niendelee kupata huduma, tatizo ni kuwa njia za kulipia wanaonesha nilipe kwa VISA tatizo ni kuwa sina uzoefu na huduma za VISA. naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu juu ya hili ili niweze kufanikisha kulipia...
  8. itagata

    Msaada replacement ya injini ya mitsubishi 4d56

    Gari yangu Mitsubishi pajero inayotumia injini ya 4D56 imeua injini mara 2 ambazo kimsingi inazungusha mkono namba 1 mpaka block inalika kidogo kitu ambacho inakuwa vigumu kufanya repair. Kuna watu wameshauri nifanye replacement na injini nyingne tofauti na za mitsubishi kwa sababu bodi lake...
  9. itagata

    Nafasi za Kazi

    Habari wana JF, Tafadhari jaribuni kuangalia hizi attachment kuna Tangazo la Nafasi za Kazi zilizotangazwa leo. Asanteni
  10. itagata

    Msaada - Injini ya Gari 4D56

    Habari waungwana! Gari yangu aina ya Mitsubishi Pajero V24 imeharibika injini yake aina ya 4D56, kiasi kwamba itahitaji fedha nyingi kuitengeneza bora kununua nyingne. ninachohitaji kutoka kwenu ni wapi zinapatikana hizi injini na kama kuagiza nje ya nchi ni kampuni gani linajihisisha na...
  11. itagata

    Msaada- Internet kwenye Samsung Galaxy Tab3

    Habari wana JF, nimenunua Samsung Galax Tab3, lakini internet bado siipati nimejaribu kupiga simu Vodacom, kuomba wanitumie configuration sms, lakini wamesema kuwa simu aina hii inafanywa manually, sasa na hapa nipo mbali na Vodashop, naomba mwenye kujua manually configuration za simu aina hii...
  12. itagata

    Ni mmea gani hufukuza mbu ukipandwa kuzunguka nyumba?

    Habari za leo wanaJF, samahani naomba msaada kwa mtu anaefahamu mmea wowote ambao ukipandwa kuzunguka nyumba hufukuza mbu pia anieleze unapatikana wapi ili niweze kufanya utaratibu wa kuupata. Asanteni.
  13. itagata

    Naomba msaada jinsi ya kuinstall Whatsapp kwenye Nokia XL

    Wana JF, Poleni na majukumu ya siku nzima, jamani simu yangu nokia XL inakataa program ya whatsapp na kila niki install inakata kufunguka inaniambia kuwa device is not supported. Naombeni msaada kwa mtu anaejua jinsi ya kuinstall whatsapp! Asanteni.
  14. itagata

    Msaada; Huawei Ascend Y300

    Wadau, Simu yangu Huawei Ascend Y300 leo asubuhi wakati naitumia ghafla application zake zikagoma kufanya kazi, nikadhani labda itakuwa ime-stack ikabidi ni - restart, wakati inawaka ilipofikia kwenye nembo pamoja na neno "HUAWEI" ikagoma kuwaka ikabaki hapo hapo na hata nikitoa betri na...
  15. itagata

    Msaada Please- Vyuo vya nchini vinavyoa Degree kwa kushirikiana na vyuo vya nje

    Wana JF, Naomba msaada kwa anaejua vyuo vikuu vya hapa nchini ambavyo vinatoa Degree kwa kushirikiana na vyuo vya nje ya nchi, ikiwezekana aniambie ni course gani wanazotoa. Asante.
  16. itagata

    Anahitajika muuzaji wa duka la Dawa- Singida

    Anahitajika muuzaji wa duka la dawa aliyepitia mafunzo ya TFDA ambaye anaishi ndani ya Manispaa ya Singida. Kama kuna mtu mwenye sifa hizo ani PM ili nimpe maelekezo zaidi na tukutane nae ili aanze kazi.
  17. itagata

    Frequencies za Chanel za TV za Tanzania

    Habari wanaJF Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC, Chanel Ten, StarTV na pia za kenya kama K24 na KBC anipatie ili niziweke.
  18. itagata

    Msaada Tafadhari-Open University

    Wana JF, nimejaribu kuangalia kwenye website ya Open University, sijaona tangazo la Masomo la mwaka 2013/14 na nataka kujiunga na chuo hicho kusoma mojawapo ya course hizi kwa ngazi ya bachelor; Project Planning and Management, Community Development, agrobusiness,Development studies au...
  19. itagata

    Msaada Tafadhari - .co.tz

    Habari wana JF. Samahani wakuu naomba msaada wa kuwapata hawa jamaa ambao wanatoa Domain za .co.tz, kama kuna mtu ana taarifa kamili mahali walipo pamoja na mawasiliano yao, naomba anisaidie kwani nahitaji kununua hiyo Domain.
  20. itagata

    satellite receivers

    Habari wana JF, naomba msaada kutoka kwa yeyote anaejua, ni Receivers gani za FTA (free to air) ni imara na zinafungua chanel nyingi ili ninunue maana naanza kujiandaa na December 31. Naomba kwa anaejua anisaidie kunitajia ili nikaitafute mapema.
Back
Top Bottom