itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 209
- 71
Wadau, Simu yangu Huawei Ascend Y300 leo asubuhi wakati naitumia ghafla application zake zikagoma kufanya kazi, nikadhani labda itakuwa ime-stack ikabidi ni - restart, wakati inawaka ilipofikia kwenye nembo pamoja na neno "HUAWEI" ikagoma kuwaka ikabaki hapo hapo na hata nikitoa betri na kuirudisha nikiwasha tena inaishia hapo hapo. Naombeni msaada kwa anaejua tatizo kama hili maana ndo mara ya kwanza kutokea na ina miezi 4 tu toka niinunue tiGO. Naombeni msaada wenu tafadhari.