Subaru Forester

itagata

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
209
71
Jamani nahitaji subaru Forester iwd katika hali nzuri mwenye nayo ani PM bajeti yangu ni 6,000,000.
 
Mmmhhh kwa io bajeti mku mmhh ukipata ntafute nam nahitaji ila plate no kuanzia C
 
Zinapatikana kaka, zipo tena ni namba B na kuna moja tena inauzwa 4.8 Ml ila bado sijaiona kwa macho ndio nafanya huo mchakato wa kuiona.
 
Jamani nahitaji subaru Forester iwd katika hali nzuri mwenye nayo ani PM bajeti yangu ni 6,000,000.

Utapata used used kwa madalali ila kwa 8ml waweza pata kwa muuzaji ila ni majini hayo magari yanakunywa mafuta balaa,alafu nakushauri utafute mtaalamu wa hizo subaru forester maana ziko model mbili kuna moja iko vizuri ila kuna model nyingine ni jipu
 
Asante sana Bandu Bandu, sikuwa nafahamu kuwa kuna aina mbili za hilo toleo, ngoja nisubiri wadau waje wanisaidie ipi ni imara na nawezaje kuzitambua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom