Search results

  1. kingjohn255

    Natafuta nyumba ya kupanga niifanye ofisi

    Habarini za leo wakuu? natafuta nyumba ambayo naweza kuifanya office Sifa za nyumba, iwe inajitegemea, iwe barabarani(iwezwe kuelekezeka, na iwe wilaya ya kinondoni(kawe chini, Mbezi Beach, Mikocheni, Kinondoni yenyewe, Kijitonyama, Mwenge, Sinza, Makumbusho, Msasani, Oysterbey na Masaki Budget...
  2. kingjohn255

    Tunaagiza, tunanunua na kuuza magari

    Habari ya wakati huu ndugu zangu, je wewe ni mhitaji wa gari ya kutumia, au una gari na unauza ila hujui uipeleke wapi ili iweze kuuzwa kwa wakati? Basi usihofu Kampuni ya Joex Motors (T) Limited wamekuja na aulihisho hilo Tunaagiza gari Europe na Japan, tunanunua gari kwa wamiliki halali na...
  3. kingjohn255

    Unahitaji kampuni ya kusimamia shughuli yako?

    Je, unahitaji kampuni bora sana ya kusimamia tukio lako? Inaweza kuwa harusi, mahafari, mikutano, washa na tukio lolote linalohitaji usimamizi wa kina? Basi usiwe na mashaka, kampuni ya Joex Event Planning & Management Ltd wapo kwa ajili ya kuhakikisha tukio lako linaandaliwa na kusimamiwa...
  4. kingjohn255

    Nafasi ya kazi: Clearing Agent

    Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti Umri...
  5. kingjohn255

    Tangazo la nafasi ya kazi (clearing agent)

    Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti Umri...
  6. kingjohn255

    Mtaalamu wa kuandika wasifu wa kampuni(company profile) pamoja na afisa mauzo na masokoanahitajika

    Kama kichwa Cha habari kinavyoelezea, anahitajika mtu aliebobea katika uandikaji wa wasifu wa kampuni( company profile), kwa ambae anauwezo na sifa za kuandika awasilishe maombi yake Kupitia email: josephariagroup@yahoo.com sambamba na Hilo anahitajika mtu mmoja aliebobea katika sales &...
  7. kingjohn255

    Waagizaji na wauzaji wa magari (Japanese & European)

    Jo Motors ni kampuni iliyojikita kwenye uagizaji na uuzaji wa magari (car dealership), wauzaji wa auto parts za magari(Japanese parts na European parts) kwa gharama nafuu sana karibuni tukuagizie gari ya ndoto yako Tupo mikochen jijini dar es salaam +255719263074
  8. kingjohn255

    Tuwe makini na mafundi hasa kwenye ubadilishaji wa spare na oil

    Nianze uzi huu kwa kutambua uwepo wa watu mbalimbali na wenye ufundi na ujuzi wa kila aina. Kuna kitu bado wamiliki wa magari wanashindwa kukielewa pale ambapo wamekuwa wakipeleka gari zao kwa mafundi kubadilishiwa oil na baadhi ya vipuri lakini katika utafiti wangu mdogo kwenye swala la oil na...
  9. kingjohn255

    Tunauza genuine spare parts and accessories

    Ndugu wana jukwaa tunapenda kuwapa taarifa ya kuwa tunauza spare za magari ,mapambo ya magari, battery vilainishi vyote pamoja na tairi za magari mpya na original kabisa tunapatikana kinondoni vijana kwa tupo wazi kuanzia jumatatu hadi jumamosi saa 7:30 hadi saa 02:30 usiku
  10. kingjohn255

    Natafuta frem ya biashara ya kuuza mapambo ya magari na spare zake kwa jiji la dar

    Habarini wakubwa natafuta frem ya kuuzia mapambo ya magari kwa jiji la dar es salaam, maeneo ambayo ningependelea nipate ni barabara ya bagamoyo yote kwa maana ya kuanzia moroko airtel hadi tegeta, barabara ya sinza kwa maana ya kuanzia shekilango hadi bamaga, barabara ya mwai kibaki kwa maana...
  11. kingjohn255

    Biashara ya vifaa vya magari na mapambo

    Wakuu habarini za humu ndani, naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya vifaa vya magari na mapambo( spare parts&accessories) kuhusiana na soko lake hasa kwa majiji ya DSM na dodoma, maeneo ambayo biashara hii ukiiweka wateja watakuwa rahisi kukufikia na pia jinsi ya uendeshwaji wake...
  12. kingjohn255

    Gharama za uanzishwaji wa ofisi ya mapambo

    Ndugu zangu rejeeni mada tajwa hapo juu naomba kupata msaada kwa wale wataalamu wa mapambo ninataka kuanzisha biashara hiyo ningependa kupata muongozo wa jinsi ya upatikanaji wa vitambaa rangi mbalimbali pamoja na gharama za kianzio iwe angalau kuanzia kiasi gani
  13. kingjohn255

    Naweza kupata nyumba ya kupanga dar?

    Sory kwa kuchanganya mada wadau kuna mtu yyt humu ndani na anaepatikana jijini dar es salaam anaejua wapi naweza kupata nyumba ya kupanga Vigezo Vyumba 2+ Viwe na tiles Sebule kubwa Mwenye nyumba asiwe anaish hapo Awe anachukua kodi kuanzia miezi 4+ Iwe katika wilaya zifuatazo Ubungo temeke...
  14. kingjohn255

    Je wadau hizi ndizo sifa kweli zinazopendwa na wanaume kote duniani?

    Fahamu Aina 10 ya Wanawake Wanaopendwa na Wanaume kote duniani 1. WENYE MSIMAMO Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio. 2...
Back
Top Bottom