kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 383
- 474
Wakuu habarini za humu ndani, naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya vifaa vya magari na mapambo( spare parts&accessories) kuhusiana na soko lake hasa kwa majiji ya DSM na dodoma, maeneo ambayo biashara hii ukiiweka wateja watakuwa rahisi kukufikia na pia jinsi ya uendeshwaji wake pamoja na kiasi gani cha kuanzia kama mtaji kwa mtu ambae anataka kufungua duka kwa mara ya kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app