kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 383
- 474
Ndugu zangu rejeeni mada tajwa hapo juu naomba kupata msaada kwa wale wataalamu wa mapambo ninataka kuanzisha biashara hiyo ningependa kupata muongozo wa jinsi ya upatikanaji wa vitambaa rangi mbalimbali pamoja na gharama za kianzio iwe angalau kuanzia kiasi gani