Naweza kupata nyumba ya kupanga dar?

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
383
474
Sory kwa kuchanganya mada wadau kuna mtu yyt humu ndani na anaepatikana jijini dar es salaam anaejua wapi naweza kupata nyumba ya kupanga
Vigezo
Vyumba 2+
Viwe na tiles
Sebule kubwa
Mwenye nyumba asiwe anaish hapo
Awe anachukua kodi kuanzia miezi 4+
Iwe katika wilaya zifuatazo
Ubungo temeke na kinondoni
Kama yupo ani pm plz
 
Nina nyumba ya vyumba 3, kimoja master, sitting room kubwa pamoja jiko na parking

Maji na umeme ni wa kujitegemea hakuna sharing

Nyumba ipo Temeke mita 300 kutoka barabara kuu,

Kama upo serious njoo PM tuyapange
 
Maisha yamebadilika sana waliopo jijini wanatamani kuja vijijini nauli ndio hamna waliopo vijijini wanataka kuja jijini kwenye kupatia maisha.
 
Njoo ninayo, IPO Mbezi Makabe,wilaya ya Ubungo, eneo linaitwa Mwanza garage, umbali toka Barbara kubwa ni 200m tu, ipo ndani ya Fensi, Umeme na kisima cha maji. Full Tiles, Kodi 300K * 6moths minimum.
Sory kwa kuchanganya mada wadau kuna mtu yyt humu ndani na anaepatikana jijini dar es salaam anaejua wapi naweza kupata nyumba ya kupanga
Vigezo
Vyumba 2+
Viwe na tiles
Sebule kubwa
Mwenye nyumba asiwe anaish hapo
Awe anachukua kodi kuanzia miezi 4+
Iwe katika wilaya zifuatazo
Ubungo temeke na kinondoni
Kama yupo ani pm plz
 
Njoo ninayo, IPO Mbezi Makabe,wilaya ya Ubungo, eneo linaitwa Mwanza garage, umbali toka Barbara kubwa ni 200m tu, ipo ndani ya Fensi, Umeme na kisima cha maji. Full Tiles, Kodi 300K * 6moths minimum.
Nayafahamu vizuri haya maeneo, yametulia.kwa watu wa ibada kanisa na msikiti vipo karibu pia. Nakaaga sana kisangani pub na msolopa
 
Mbezi makabe mbali sana mkuu na sio hizo mita 200 kutoka barabarani kama unavyosema
 
Nayafahamu vizuri haya maeneo, yametulia.kwa watu wa ibada kanisa na msikiti vipo karibu pia. Nakaaga sana kisangani pub na msolopa
Kwa mbezi makabe inahitaji usafili mwingine ili niweze kufika mbezi stand nataka angalau karibu na barabar kuu ya morogoro
 
Back
Top Bottom