Search results

  1. M

    Kugoma kwa wasafirishaji abiria mkoani Kagera uongozi wa juu Chukueni Hatua

    Mkoani Kagera. Polisi wa kikosi cha usalama barabarani wamekuwa wala rushwa wa waziwazi, yaani kwao Rushwa wameihalalisha, hakuna viongozi wanaojali, asilimia kubwa ya Trafiki wamenunua magari kwa ajili ya kufukuzia magari ili yatoe rushwa. Ukikutana nao kama una gari lazima wakuombe rushwa...
  2. M

    Hivi ni kweli tunakiezi na kukithamini kiswahili kama lugha yetu ya taifa?

    Nimuda sasa tumekuwa tuna kalilishwa kuwa lugha ya Taifa ni kiswahili,lakini kitu cha kusikitisha ni kwamba serikali yenyewe imeshindwa kukitumia kiswahili kama lugha yake ya wasiliano kati yake na wananchi inaowaongoza. Fuatilia matangazo ya tenda za serikali zote yanatolewa kwa lugha ya...
  3. M

    Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    Nimekuwa nikiaona akifanya ziara nyingi na kutoa ahadi za kushughulikia matatizo yanayowakabili wananchi,amri nyingi kwa viongozi mbalimbali.Hivi ndugu zangu waliopata bahati ya kutembelewa na huyu Kinana kuna kitu mnafaidika naye? Au ni siasa tu za kipuuzi. Kuanzia kanda ya kusini.Dar na sasa...
  4. M

    Kanali masawe,bwana afya na afisa bishara manispaa bukoba pamoja na tra kagera mko wapi?

    Baada ya Kanali Masawe kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Kagera alikuja na mikakati mingi hasa ya kuhakikisha mji unakuwa msafi, na kwa hilo alifanikiwa sana na akapanga siku ya alhamisi kuwa siku rasimi ya usafi,Mji ulipendeza ukawa safi sana,kiasi cha kuwa mfano kwa miji mingine. Ila kitu cha...
  5. M

    Sigara (tcc) wabwagwa tena mahakama kuu kitengo cha kazi

    Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na kuahakikisha anafukuza wafanyakazi woote watawi la Shinyanga ambao walikuwa siyo rafiki...
  6. M

    Sigara (tcc) wabwagwa tena mahakama kuu kitengo cha kazi

    Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na kuahakikisha anafukuza wafanyakazi woote watawi la Shinyanga ambao walikuwa siyo rafiki...
  7. M

    Sheria inasemaje kuhusu muda wa kutoa hukumu?

    Wana jf hasa wale wajuzi wa sheria ,naombeni kujua kama sheria inatoa muda wa mwisho hukumu iwe imetolewa baada ya kusikilizwa kesi,naulizia ngazi ya mahakama kuu.au jaji anaweza kuitoa wakati wowote anapojisikia ata kama ni mwaka mzima
  8. M

    Serikali kukimbilia mahakamani ili kunyima watu ni sawa

    Ninilisikitishwa saana na Serikali ya Tanzania kuwazuia ma dr kuadamana kisa kesi hiko mahakamani.Na jana nimesikitishwa zaidi na kauli ya Serikali kuhusu mgomo wa walimu kwa kusema kuwa ni batili kisa eti kesi hiko mahakamani.Hivi jamani hii serikali yetu kuzuia hoja nyingi za msingi...
  9. M

    Bia na soda za majeshi hivi ni kwa ajili ya matumizi gani?

    Hivi wadau hizi bia na soda na bidha nyingine ambazo huwa wanapewa majeshi bila kodi zina maana gani?Mimi kwasasa niko Shy ila kitu cha kushangaza kuwa Polisi na Magereza wamefungua mabaa na kuuza bia kwa sh 1300 na wanauzia kila mtu pale baa,na wafanyabiashara wanalalamika kuwa biashara mbaya...
  10. M

    Wanaume tuchukue hatua za makusudi

    Kama Wanaume wa kizazi hiki hawakuwa macho, karne ijayo , patakuwapo na wanaharakati wanaume wa kupambana na sheria kandamizi zitakazokuwapo katika utawala katili wa wanawake.
  11. M

    Wanaume ili tnalichukuliaje?inabidi kuchukua hatua za makusudi

    KamaWanaume wa kizazi hiki hawakuwa macho, karne ijayo , patakuwapo na wanaharakatiwanaume wa kupambana na sheria kandamizi zitakazokuwapo katika utawala katiliwa wanawake.
  12. M

    Kiapo kina maana gani?

    Tumeshuhudia mara zote Rais kabla ya kuanza kazi lazima aapishwe,mawaziri,wakuu wa mikoa makatibu wakuu na viongozi wengine wakiwemo wanasheria.Sasa mimi ninashangaa kwanini wakivunja kiapo wasishitakiwe kwa kukiuka kiapo,au akina maana, kwakuwa hata Baraza la mawaziri linalo tegemewa kuvunjwa...
  13. M

    Kukata rufaa nje ya muda sheria inasemaje?

    Jamaa yangu ameshinda kesi CMA baada ya mwezi mmoja kupita bila mwajiri kusema lolote akaamua kukazia hukumu ambapo Mahakama kuu ikatoa order kwa mwajiri ikimtaka kutekeleza maamuzi ya CMA jamaa yangu alipopeleka order ndani ya week moja mwajiri akampatia copy ya appeal ya High Cort ambayo...
  14. M

    Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.
  15. M

    Msaada wa sheria wadau tafadhari

    Kuna rafiki yangu amefanya kazi kenye shirika miaka 28,mwajiri akaamua kumfukuza kazi,kitendo ambacho jamaa yangu hakuridhika nacho. Akaenda CMA ambao wametoa hukumu yao kwamba arudishwe kazini.Mwajiri akaamua kumuandikia kuwa asubiri atafute taratibu nyingine.Sasa imepita zaidi ya mwezi sasa...
  16. M

    Siku ngapi kisheria inabidi huwe umekata rufani

    Hi wataalamu wa sheria naomba kujua ni siku ngapi zinazoruhusiwa kisheria kuwa umekata rufaa mahakama kuu.Na zinaanza kuhesabiwa wakati gani yaani kuazia tarehe ambayo umupata hukumu au siku ambayo hukumu imetolewa.
  17. M

    Yuko wapi Jerry Muro?

    Yuko wapi huyu jamaa baada ya kushinda kesi yake,au sheria inasemaje si anatakiwa kurudishwa kazini?Huyu jamaa angesaidia saana kufichua madhambi na uozo wa idara mbalimbali za serikali na idara zake.
  18. M

    Maombi ya kaz iya udereva

    Ninanaomba wana jf yeyote ayejua au anaye hitaji driver niko tayari,nina leseni class A,B, c1, c2, c3,na D na E,nimeendesha magari tofauti tofauti kwa zaidi ya miaka kumi.Muda mrefu nimefanya kazi za mauzo kama salesman,kazi hii nina uzoefu nayo sana, tatizo sina cheti cha kuisomea zaidi ya...
Back
Top Bottom