Wanaume tuchukue hatua za makusudi

mukama talemwa

Senior Member
Jun 14, 2011
160
28
Kama Wanaume wa kizazi hiki hawakuwa macho, karne ijayo , patakuwapo na wanaharakati wanaume wa kupambana na sheria kandamizi zitakazokuwapo katika utawala katili wa wanawake.
 
Wat du yu min?Umewekwa kwenye kikaago nn?nashdwa shdwa kuelewa logic.Bt hata kama ni kipondo komaa bwana,ni dalili za kukata tamaa izo mku
 
Mwanamke ni mwanamke tu, na mwanamume ni mwanamume tu. Ni vigumu kukojoa umekaa alafu ukampiga mtu.
 
Na hizi hatua za makusudi tunachukuaje!!!?? Baada ya kunywa Chibuku au kabla?
 
Back
Top Bottom