Msaada jamani,
Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka.
Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
Naomba kujuzwa hawa ni miongoni mwa watakatishaji wa fedha chafu pale Stanbic benk!Je hawajaandika barua kukiri na kurudisha billion 7 zetu.Tafadhali nijuzeni hawa watu wana hela na Mzee Mamvi anazo zaidi ya hizo.Napenda kujua!Mimi nipo Luxembourg, cjui kinachoendelea bongo yetu!
Tbc Mara nyingi wako busy na matangazo ya live ya kiserikali!Lakin walipa Kodi jamani tunahitaji mtuonyenye na matukio mengine!Matangazo ya mpira live ni nadra Sana kurushwa na Tbc.Acheni kutumia Kodi za wananchi Kama mtakavyo.Mjali na mambo mengine Kama matukio ya michezo jamani.Mmeshatuumiza...
Napenda kujua ni kwa nini kinyesi cha Binadamu hakitumiki kama mbolea?Maana sehemu nyingi ambazo uwa kuna mtitiriko wa kinyesi na kukawa na ulimaji Wa mboga mboga,uwa zinastawi sana.Sasa ni kwa nini kisitumike kama mbolea?
Jamani, naomba msaada,
Nina laptop aina ya dell inspiron N5040, nimeamka asubuhi,naiwasha ina display mwanga tu pasipo maandishi. Jana usiku nimeitumia. Sasa kabla ya kuipeleka kwa fundi tatizo laweza kuwa nini?
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja kwa miaka minne. Ni msomi tu mzuri na mrembo. Amenifanya boya sana baada ya mimi kumpenda. Tukiwa kwenye mahusiano ya kuelekea kufunga ndoa kanidhalilisha sana baada ya kuniacha.
Mahali anapofanyia kazi ni mbali na anapoishi, wakati mimi napofanyia kazi c...
Nina kisimu changu Samsung Dual-SM-G355H.Kinanisumbua namna ya kuscreenshot.Cjui kuitumia.Naomba mwenye kufahamu nifanyeje anijuze ili niweze kuscreenshot maana ina uwezo huo lakin pa kubonyeza au kusweep cjui.Msaada tafadhali.
Tundu Lissu yupo mitaa ya Buzuruga akihutubia jinsi anavyomnanga Mwalimu Nyerere kuhusu Muungano kwa hakika muheshimiwa huyu ana matatizo kichwani.Mathalani anasema kwamba Nyerere alipindisha pindisha sheria na kuibaka Zanzibar na kuifanya kuwa koloni la Tanganyika.
Size 15*25,kina mawe tripu kumi na mchanga tripu taut.Hati hakina ila unaweza shughulikia ukaipata maana survey ilishafanywa jiji ila hawajapima eneo husika ispokuwa kama una hela yako unawafuata wanakushughulikia na kukupimia kabisa,bei 5M,mawasiliano 0682078781
Jamani naomba msaada kwa anayefahamu,kwa gari hii aina ya Toyota Harrier,itanigharimu shilingi mpaka kuitoa bandarini na kuwa nayo mkononi?na kwa wataalamu wa magari je gari hii ni si mtumiaji mkubwa wa mafuta?Msaada tafadhari!!!!!
Model:
TA-ACU15W
CC:
2400...
Habari wapenda,natafuta nyumba ya kupanga Dom mjini isiyozid vyumba vitatu,yaweza pia kuwa hata ya viwili but inayojitegemea.Gharama isizid 200000 kwa mwezi
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine...
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya kwanza iliparaganyika Sababu mi niliamua kusitisha mahusiano baada ya kugundua Ana mahusiano mengine...
Hivi ununuaji wa gari kupitia SBT utaratibu wake upoje wakuu?maana mh naogopa kulizwa na ninahitaji gari kutoka Japan.Msaada please kwa anayejua!!!
Asante!!
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna...
Ni matumaini yangu wapendwa,wengi wetu tumeshuhudia,au sisi wenyewe kwa namombna moja au nyingine tumehusika moja kwa moja na biashara hii ya uchangudoa!!ombi langu ni kwamba biashara hii ihalalishwe!tra watapata kodi,na hata wizi unaofanywa na wahusika wa biashara hii utapungua!!kwani...
Ama kweli mbio unazokimbia kuelekea urais hakuna anayekufuata!!!!!
Tarehe 13/11/2011 nimeshitushwa kutangaziwa kwamba mheshimiwa Edward Ngoyay Lowassa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya harembee ya kanisa langu parokia ya Nundu-Mwanza.
Hakika umejipanga ila watanzania hatukutaki, amini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.