Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

lukatony

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
667
522
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?
 
That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
 
Yuko sahihi japo watu wa wildlife wanasema na nyani pia. Mbwa ni for reproduction only, na ndio maana hapandwi akiwa hayuko kwenye heat, mbuzi halikadhali.
 
That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.

Lolwe, your statement is defeating itself, if a living organism is doing it when the opposite sex is on heat is the sign that the biological motive is reproduction! Think of human beings we even try to avoid when the opposite sex is on heat!?
 
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHINtu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?

Si kweli kwamba ni binadamu na Dolphins tu ndio wanafanya 'sex' for fun...Masokwe aina ya Bonobo wa misitu ya Congo hutumia sex kama njia mojawapo ya kubond kifamilia na between families, ni moja kati ya wanyama ambao wanafanya sex mara nyingi sana kwa siku duniani. Nguruwe hufanya sex kwa starehe pia, hata ukiweka madume watupu wa Nguruwe basi watageuzana (lawitiana) kwa zamu...Nguruwe na Sokwe Bonobo ni kati ya wanyama ambao wameonyesha mahusiano ya jinsia moja (homosexual) kwa madume.
 
Prof J.P. Mrema pale SUA alituambia class namnukuu "I hate sex i have done it very rarely and only for reproduction purpose" akatuacha hoi .........!!!!

Ulikuwa kozi gani na ni mwalimu wa nini?
Unataka kuniambia anawaacha Wasuaso wanaotaka alama (marks) za vyupi?
Ingawa inaweza kuwa kweli lakini NGUMU KUMESA>

Bazazi
 
Ni kweli kabisa. Dolphin na Binadamu ndio wanafanya mapenzi kwa kwa ajili ya reproducion na starehe. Hawa wenine wote no matter the frequency of mating is for reproduction
 
Si kweli kwamba ni binadamu na Dolphins tu ndio wanafanya 'sex' for fun...Masokwe aina ya Bonobo wa misitu ya Congo hutumia sex kama njia mojawapo ya kubond kifamilia na between families, ni moja kati ya wanyama ambao wanafanya sex mara nyingi sana kwa siku duniani. Nguruwe hufanya sex kwa starehe pia, hata ukiweka madume watupu wa Nguruwe basi watageuzana (lawitiana) kwa zamu...Nguruwe na Sokwe Bonobo ni kati ya wanyama ambao wameonyesha mahusiano ya jinsia moja (homosexual) kwa madume.

Kwa hiyo pepo hawaioni hawa uliowataja wote hapo..?
 
That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
Asisahau pia na nguruwe, wakiwa kwenye heat wanalia kabisa. Na pia wana tabia ya kufanya "ubakaji".
 
Back
Top Bottom