Search results

  1. A

    Uchaguzi 2020 Nafasi ya kipekee kwa vijana na wazalendo wa Tanzania

    Ndugu zangu wa Tanzania, kama kuna muda ambao nafasi za siasa zimekuwa za haki na available kwa kila raia wa Tanzania ni sasa. Nawaombeni sana sana kama wewe ni mzalendo, unania njema na nchi hii, una uwezo wa kuinua taifa letu katika kuongeza social welfare, unauchukia fisadi kwa moyo wa dhati...
  2. A

    Sisi tu matajiri...

    Siwezi kueleza ni jinsi gani nimefurahia kusikia hii kauli kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wetu mkuu. Kusema ukweli huwezi kutoa usichokuwa nacho na wala huwezi kupata/tengeneza usicho kiota kwa maana ya maono au vision...kwa muda mrefu nchi zetu zimejengewa fikra za kuwaza kimasikini...
  3. A

    Ombi: mei mosi mwaka huu tuongeze uhakika wa mshahara wa ile asilimia kubwa wasio na ajira rasmi....

    Nimefuatilia malumbano ya hoja ITV leo....kuna mdau katoa wazo la busara sana kwamba wakati wengine wetu tunalalamika kuongezewa salary wapo ambao monthly salary yao ni zero....au negative yaani deni....sasa Mh. Rais na watanzania wote tumkumbuke huyu mfanyakazi asiye na kazi rasmi badala ya...
  4. A

    Mwaka wa mabadiliko, je wewe unafurahia au unasikitika?

    Wapo ambao wanasubiria washindi kutangazwa, lakini tupo wengine kama mimi ambao tupo tunashangilia ushindi huu wa mabadiliko bila kujali yupi anashinda; wewe upo kundi lipi? Kwahakika Tanzania njema ni lazima hebu sote tujumuike kuileta hiyo njema kwakuchagua wema bila kujali unasimama kwenye...
  5. A

    Serikali ya CCM na mazoea ya kutumia dola kuongoza

    Hotuba ya jana ya Rais ya ufunguzi wa BMK inawapa nafasi watanzania kuuchagua kuendelea na mfumo wa uongozi unaotegemea dola na rasilimali vitu (kiini cha rushwa na mitandao) ama wananchi walio wengi kupitia demokrasia ya uchaguzi. Kwanini? Sintaelezea mengi ya hotuba ya Mheshimwa Rais...
  6. A

    Ni kwa vipi siasa itenganishwe na ajira 'livelihood'?

    Kwa muda mrefu nimetafakari hili jambo, kuwa wanasiasa walio wengi Tanzania ni wajasiria mali zaidi kuliko jinsi wanavyojitambulisha kuwa ni wanasiasa. Hii kwa mtazamo wangu unatokana na ukosefu wa fursa sahihi ya watu kujikim kwakukosa mbinu sahihi za uzalishaji mali. Ni vizuri ikafika wakati...
  7. A

    Demokrasia na utawala wa dunia

    Kwaninimataifa makubwa wanaweka msisitizo katika demokrasia na kutoa ushirikiano mzurikwa viongozi wanaozingatia utawala wa sheria inayo kuza demokrasia? Je ni kwelimataifa makubwa ni wabaguzi na labda wana agenda ya siri katika kuzingatiahayo? Nitajaribukweka mwongozo wa majibu ya maswali...
  8. A

    Tokeni kati yao mkajitenge nao nayo nuru yenu ipate kuangaza!

    Kwa muda wa zaidi ya Muongo mmoja sasa tumekuwa tukisikia watanzania takribani wote wakilia kwa sauti moja na ya uchungu kuwa adui yao mkubwa ni ufisadi. Nami natoa wito kwa wote wenye kuelewa na kujitambua kwamba ufisadi ndiyo common adui yetu mkubwa watoke katika nchi hii ya baba zao (Uongozi...
  9. A

    Ushuhuda wa Dr. H. Mwakyembe

    Napenda kumshukuru Mungu kwa uaminifu wake katika maisha ya Dr. Mwakyembe. Nami napenda kuungana naye katika kufurahia ushindi wa imani yake na hasa uaminifu wake kwa maelezo yote niliyompatia hapa JF kuwa atoe ushuhuda kwa yale Mungu aliyomtendea ili sifa na utukufu ziwe kwake Mungu katika jina...
  10. A

    Je msemo 'Maneno matupu hayavunji mfupa' nikikwazo katika siasa na maendeleo Ya mtanzania?

    Kuna methali inayosema 'maneno matupu hayavunji mfupa'; ambayo mara nyingi yamesikika yakitamkwa kuoanisha kauli za wanasiasa watanzania. Je unadhani msemo huu umechangia wanasiasa wa Tanzania katika kutamka wasiyoyamaanisha na kufanya wasiyo ya tamka? Ninatamani kujua kama msemo huu upo katika...
  11. A

    Ni uwoga kukosa uvumilivu kukosa imani ama!?

    Nipo katika tafakuri kuu! Ninaamini kuwa invention ni process ambayo inaanza na wazo hatimae wazo kujaribiwa na baada ya kuonekana kuwa lafaa kuendelezwa hadi kufikia level ya consumption. Hii inahitaji resources, political will pamoja na cooperation kati ya mwenye wazo, wanasiasa na raia...
  12. A

    Ni pasaka ya Tanzania Je wewe utavuka salama?

    Pasaka ki historia ilianza pale wana wa Israel walipo kuwa katika maandalizi yao ya kwenda nchi ya ahadi baada ya kukaa miaka 400 wakiwa utumwani Misri. Manabii walisha tabiri kabla kuwa baada ya miaka hiyo wana wa Israel wata ondokana na maisha ya mateso na adha nyingi walizokuwa wakipata...
  13. A

    Kwanini mtizamo wan chi yetu katika energy unaenda kinyume na malengo ya dunia ya kupunguza co2 emis

    Utangulizi Hapa nataka kutoa summary ya mambo ya kuzingatiwa katika energy policy ya nchi, kama haya yamo kwenye policy yetu ya energy (If we have anyway) je kamati ya Bunge katika kuisimamia serikali inawa bana kuhusu haya na je mapendekezo wanayozingatia yanafuata hii thinking katika energy...
  14. A

    Kwanini mtizamo wa nchi yetu katika energy unaenda kinyume na malengo ya dunia ya kupunguza co2 emis

    Citation Utangulizi Hapa nataka kutoa summary ya mambo ya kuzingatiwa katika energy policy ya nchi, kama haya yamo kwenye policy yetu ya energy (If we have anyway) je kamati ya Bunge katika kuisimamia serikali inawa bana kuhusu haya na je mapendekezo wanayozingatia yanafuata hii thinking...
Back
Top Bottom