Search results

  1. Wed

    Video ya alichokisema Lema na Meya Boniface kuhusu Kupigana

    Katika hali inayoashiria kuelewana vizuri, Godbless Lema na Meya Boniface wazungumzia habari za uvumi kuwa wamepigana. Je ni kweli walipigana ? Je, ni nani aliyeanzisha tuhuma hizo ?Tazama video hii
  2. Wed

    Bunge Live

    Ndugu wana JF, Naomba kama kuna anayefahamu "link" ambayo naweza kusikiliza bunge live kupitia internet atupatie hapa. Natanguliza shukrani
  3. Wed

    Data za kisayansi katika video inayohusishwa na Lwakatare

    Wakuu heshima yenu ! Hapa janvini kulikuwa na ubishi kuhusu taarifa mbalimbali kama tarehe ya kutengenezwa video, aina ya kamera ya iliyotumika, ukubwa wa pixels nk. Kwa kutumia MediaInfo nimefaulu kupata habari zote za kina za video inayomtuhumu Lwakatare kupanga njama za kujeruhi watu...
  4. Wed

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Wana JF, nimemtembela Zitto mchana huu, hali yake siyo nzuri kabiasa. Tuendelee kumwombea ili, pamoja na wanaharakati wengine wa Chadema, waweze kuikomboa hii nchi inayoliwa na mafisadi wa CCM ! Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es...
  5. Wed

    TAIFA STARS ni Siasa pia

    Wazee mtanihurumia kwa kuweka hii thread hapa. Uzalendo ndio unaonisukuma kuiweka hapa ! Timu Tayari zipo uwanjani ndiyo zinakaguliwa. Nawaombea heri Taifa Stars ! Rojadirecta.me - sportlivecenter Unaweza pia kubonyeza hapa ROJADIRECTA : Futbol Gratis Online - Ver Partidos Gratis en...
  6. Wed

    CCM na sisa za Ukabila - Je, Watanzania tufanye nini ili kuepusha shari?

    Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDINI na UKABILA. Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana kwani tunawaona vijana wa CCM waliovalia unifomu zao wamebeba bango moja lenye ujumbe wa kuchochea...
  7. Wed

    DIDEO : CCM Vipande vipande huko Dodoma

    Baada ya kushindwa uchaguzi Mkuu, CCM sasa yaamua Kutoana macho huko Dodoma. Hebu jiulize : 1/ Kama kweli CCM ilishinda uchaguzi Mkuu mbona sasa wananyoosheana vidole na kupigana huko Dodoma ? 2/ Kama kweli timu ya Makamba iliweza kushinda uchaguzi na kumrudisha Kikwete madarakani mbona...
  8. Wed

    Picha za kusikitisha : Usifungue !!

    Ndugu Watanzania. Kwa uchungu sana nimeangalia hizi picha. Nikajiuliza, hivi kweli ni serikali yetu imetufikisha hapa ?. Je, haya ndiyo matunda ya miaka 50 ya Uhuru ?? Je, haya ndiyo mafanikio ya Tanzania chini ya CCM ? Nasikia ati Siku chache zijazo, serikali ya Kikwete na mafisadi wake CCM...
  9. Wed

    Hatimaye Chibuda ca CDM Azinduka !

    John Shibuda, ameibuka na kutetea maandamano yanayofanywa na chama chake, huku akionya CCM kuacha kufanya kile alichokiita mchezo wa kugeuza polisi kuwa ‘ICU ya kutibu maradhi yake ya siasa za ufisadi. Kukosekana kwa Shibuda katika maandamano na mikutano ya Chadema hata yalipotua mkoani...
Back
Top Bottom