Search results

  1. CAMARADERIE

    Hali ya barabara zetu leo 28/09/2016

    Nimeona bora tujuzane kuhusu hili maana nimepokea taarifa kuwa kuna baadhai ya barabara hazipitiki baada ya mvua ya leo huku Dari Salama. Ni vema tukapeana taarifa zaidi. So far nimeelezwa kuwa njia ya chini Mbezi Beach haipitiki baada ya kile kidaraja kinachojengwa kujaa maji pale baada ya...
  2. CAMARADERIE

    Ushabiki Unapozidi Mipaka

    Shabiki la MANYOO lililikiona cha moto baada ya kuvamia eneo la mashabiki ya CHELSEA...akavuliwa GAMBA lake
  3. CAMARADERIE

    Old School Music Collections: Download and enjoy!

    Kuelekea weekend kwa wale wa zamani! Phil Collins - Hits FULL ALBUM - YouTube
  4. CAMARADERIE

    Wakati Ukuta

  5. CAMARADERIE

    Moi na Uhuru Kenyatta

  6. CAMARADERIE

    Duniani Kuna Mambo

    A man was rushed to a hospital after a snake bit his penis while he was relieving himself in a toilet, according to hospital officials in Israel.The man, 35, of northern Israel was bitten on Friday after the snake suddenly appeared from inside the toilet. The man suffered minor injuries from...
  7. CAMARADERIE

    Smartphones Na Mapenzi

    Haya tena........
  8. CAMARADERIE

    Taasisi Za Umma Na Kiingereza

  9. CAMARADERIE

    Happy Weekend

  10. CAMARADERIE

    Ikulu Yetu Na Mpangaji Wake.........

    Msanii wa Kizazi Kipya hapa nchini ,maarufu kama Bongo Flavour, Bi Rehema Chalamila anaejulikana zaidi kama Ray C, jana mchana amefika Ikulu ya Dar-Es-Salaam kumshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa msaada mkubwa wa matibabu yake ambayo yanafanyika jijini Dar-Es-Salaam chini ya uangalizi...
  11. CAMARADERIE

    Zanzibar inaishi, Tanganyika ilikufaje?

    NCHI yetu inaingia kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya. Tayari Bunge limepitisha muswada wa kuanzisha mchakato huo. Moja ya mambo yanayoyumbisha nchi ni suala la Muungano usioeleweka. Je, Katiba mpya itaweza kutatua kero hizo? Na ni zipi kero hizo? Kama Wahenga walivyosema kwamba, "Kwa...
  12. CAMARADERIE

    Easy Lover

    Phil Collins - Easy Lover - YouTube Easy lover She'll get a hold on you believe it Like no other Before you know it you'll be on your knees She's an easy lover She'll take your heart but you won't feel it She's like no other And I'm just trying to make you see She's the kind of girl you dream...
  13. CAMARADERIE

    Ooh Nikita......

    Elton John Nikita - YouTube Hey Nikita is it cold In your little corner of the world You could roll around the globe And never find a warmer soul to know Oh I saw you by the wall Ten of your tin soldiers in a row With eyes that looked like ice on fire The human heart a captive in the snow...
  14. CAMARADERIE

    Have I told you lately that I love you?

    http://www.youtube.com/watch?v=DJAg35WOKVg&feature=related Have I told you lately that I love you? Have I told you there's no one else above you? Fill my heart with gladness, take away all my sadness, Ease my troubles, that's what you do. For the morning sun in all it's glory, Meets the...
  15. CAMARADERIE

    Chikamoo Obama

    Damu ya kibantu haifutiki bana
  16. CAMARADERIE

    Tukiagana hapa JF

    HII KIBOKO....
  17. CAMARADERIE

    Simb Hoyeee.......Yanga Ziii

    Walahi sitasahau hii...........nimeiframe kabisa iko sebuleni tayari
  18. CAMARADERIE

    Uandaaji wa CV

    Nadhani hili ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Nipo napitia applications za kazi nakutana na changamoto nyingi. Iliyoniacha hoi ni hii ya jamaa kausema moja ya kazi zake ni kuwa signatory wa cheki. Lakini kwa ujumla uandaaji wa CV sio mzuri kabisa. Nini kifanyike?
  19. CAMARADERIE

    W.J.Malecela ungetusaidia katika hili!!!

    Kwa nini unakimbilia siasa? Nimesoma profile yako na kukuta wewe u mtaalamu wa mambo ya sukari.........kwa nini unaikimbia hii fani yako? Suala la sukari linaumiza vichwa vya watanzania na serikali pia. Tafadhali rejea shambani tulime miwa!
  20. CAMARADERIE

    Kula Kisu....

    Jamaa anavuliwa gamba
Back
Top Bottom