W.J.Malecela ungetusaidia katika hili!!!

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Kwa nini unakimbilia siasa?

Nimesoma profile yako na kukuta wewe u mtaalamu wa mambo ya sukari.........kwa nini unaikimbia hii fani yako? Suala la sukari linaumiza vichwa vya watanzania na serikali pia. Tafadhali rejea shambani tulime miwa!
 
Ameishaona kupitia kwa mzee na step mother kuwa hiyo ndio njia ya mkato to riches!! Fedha bila jasho ;EPA etc.
 
Sijui anaelewa maana ya hii picha ya PAPA BEAR,MAMA BEAR na BABY BEAR

bear_family_2_300.jpg
 
hata kama siasa inalipa ni kwa kitambo kidogo tu,mngemshauri kama ana usafi japo kidogo atafute kazi nyingine.
 
hata kama siasa inalipa ni kwa kitambo kidogo tu,mngemshauri kama ana usafi japo kidogo atafute kazi nyingine.

Thats it..........unasomea utaalamu amabao huji kuutumia kwa nini hakwenda kusoma Kivukoni Front?
 
Kwa nini unakimbilia siasa?

Nimesoma profile yako na kukuta wewe u mtaalamu wa mambo ya sukari.........kwa nini unaikimbia hii fani yako? Suala la sukari linaumiza vichwa vya watanzania na serikali pia. Tafadhali rejea shambani tulime miwa!

Nani kakwambia bungeni hakuna sukari? Huko ndiko mambo ya sukari yalikolala. Anaweza teuliwa kuwa waziri wa sukari na chumvi.
 
Back
Top Bottom