Search results

  1. Senior masai

    Biashara ya karanga

    Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa TABORA SHINYANGA Kuna aina tatu za karanga RED ndogo ndogo rd RED kubwa kubwa (TIRA) RD NYEUPE (WHITE) wt Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na...
  2. Senior masai

    Ujasiriamali

    Naombeni mtu wa kunipa details nikihitaji kuwa mtengenezaji wa mafuta na sabuni za kuogea na formula zake Naomba kama kuna chuo wanatoa course kama hizi aniambie nikasome
  3. Senior masai

    Ni kweli kuna dawa za biashara?

    Here comes, Waungwana kuna hili swala la kufanya biashara iende smoothie,, kuna rafki yangu kanishauri swala la kwenda kwa baadhi ya mashekhe ili tukapatiwe dawa kwa ajili ya biashara iende vema. Sikufanikiwa kukubali ila yeye alienda na akaanza biashara yenyewe ikaenda vizuri miezi miwili...
  4. Senior masai

    Wamasai na ngorongoro

    Naelewa hii mada imeongelewa sana ila naomba nije kwa namna nyingine Najua naeza nikawa naandika kitu ambacho labda kishapitwa na muda kutokana na serikali yenyewe pamoja na watu wake kuliweka cold,, Xenophobia ilitokea south africa wasanii reacted George floyd wakatoa hadi nyimbo i...
  5. Senior masai

    Tafadhali nijulishe sehemu ulipo Karanga kilo bei gani?

    Nina biashara ya kuridhisha kidogo ya karanga hapa Kahama ila tatizo zimeshuka bei sana kisa warwanda ambao ndio wateja wetu wakubwa wamerudi makwao!! Naomba mnijulishe sehemu ulipo karanga kilo bei gani? Ukianzia TIRA RED NA WHITE KWA BEI ZA JUMLA LAKINI KWA MASOKO YA NDANI ASANTENI
  6. Senior masai

    Wazee wakorofi

    Naomba kujua hivi sheria inawalindaje/inawahumu vipi wazee wakorofi wanaopenda matusi, kubaka watoto wadogo na mambo mengine ya kinidhamu
  7. Senior masai

    Kuzimia baada ya kufanya tendo la ndoa

    Habari wana JF, Mimi shida yangu moja, nina msichana wangu, kila nikishiliki nae tendo ile mwishoni kumekaribia anazimia kabisa nikimuacha baada ya muda kidogo hivi anazinduka, nikimuuliza kama anajisikia vipi sijui ananidanganya, sababu ananiambia anajisikia poa na wala hakuzimia. Mimi...
  8. Senior masai

    Masturbation

    Jaman wadau wenye vivid details about masturbation na effects zake plz cz kuna mtu hapa kaniulza nimempa majibu but dogo anakaza fuvu hataree hb wana bios madoctor mnipe hata link ili iwasaidie na wengne humuhumu
Back
Top Bottom