Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 67
- 52
Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge