Tafadhali nijulishe sehemu ulipo Karanga kilo bei gani?

Senior masai

Member
Jul 7, 2016
67
53
Nina biashara ya kuridhisha kidogo ya karanga hapa Kahama ila tatizo zimeshuka bei sana kisa warwanda ambao ndio wateja wetu wakubwa wamerudi makwao!!

Naomba mnijulishe sehemu ulipo karanga kilo bei gani? Ukianzia TIRA RED NA WHITE KWA BEI ZA JUMLA LAKINI KWA MASOKO YA NDANI

ASANTENI
 
Back
Top Bottom