Wamasai na ngorongoro

Senior masai

Member
Jul 7, 2016
74
69
Naelewa hii mada imeongelewa sana ila naomba nije kwa namna nyingine
Najua naeza nikawa naandika kitu ambacho labda kishapitwa na muda kutokana na serikali yenyewe pamoja na watu wake kuliweka cold,,
Xenophobia ilitokea south africa wasanii reacted
George floyd wakatoa hadi nyimbo i can't breathe
Magufuli did good things they sang to him and praised him na nyimbo ni nzuri kwa kwelii,,
Point yangu ni kwamba kwani hao wamasai wanachofanyiwa huko wasanii hawakioni nao wakasema nao waimbe,, sijasema kinachofanyika kule ninkitu kibaya wala kizuri coz sipo ngorongoro ila mbona wasanii wanapenda kwenda na mtukio yanayoenda currently au wamekosa mashairi ya kuweka kwenye nyimbo ata mm ntawaandikia,,
 
Back
Top Bottom